simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,783
- 9,709
'uchaguzi' typical soap opera the storyline continues.
ha ha ah ..unatukumbusha mbali bana
kwanza umewaona hawa waandamanaji?
source bbc
View attachment 48636
Kweli Mkuu, uchakachuaji kama wa petu vile. Wamewachukua watu wa mashambani na mikoani kibao na kupiga kura mara watakazo.jamaa ameshashinda...ila uchakachuaji wa kura ni kama bongo vile...!
Ukiona foreigners hawampendi mtu ambaye ninyi mnamchagua ujue kuna kitu apo.
USA hawampendi Putin ila ndo ivyo keshapeta!
ha ha ah ..unatukumbusha mbali bana
kwanza umewaona hawa waandamanaji?
source bbc
View attachment 48636
bado unaishi ktk dunia ya vita baridi?
Hahaha tunahitaji mtu mjanja mjanja kama putin kafanikiwa kuipiga chenga katiba.