Put me on your daily prayers marafiki

Mkata Kiu
Pole sana, Mungu akiwa upande wetu ni nani aliyejuu yetu?? Mungu ni mwaminifu na na maneno yake au ahadi zake ni za ukweli, (Yeye mwenyewe aliutwaa udhaifu wetu na kuyachukua magonjwa yetu,) Amen
 
Pole sana kwa kuuguza MKATA KIU, tell bi mkubwa to keep her faith strong and feel the healing Powers of our Father.
 
Mungu wetu ni Mbinguni na akapate kufanya uponyaji kwa Bi Mkubwa.. Pole kwa kuuguza ndugu!
 
Heshima kwenu brothers, sisters and marafiki zangu wote wa MMU.

Msaada wa maombi kidogo ni muhimu as nipo kwenye kipindi kigumu, b mkubwa anafanyiwa serious operation and by now nipo nae Apollo health city, India for her treatment.
Nitashukuru sana kwa maombi yenu wadau

Mungu awe pamoja naye.
 
Mungu amuangalie mgonjwa wetu kwa jicho la Huruma.
Hakika amini, Mungu ni mwaminifu kwa wote wachao, nawe
kwa kuwa umemuomba na kumtumainia yeye, hakika amini, mkono wa Bwana
utakuwa juu ya huyo mgonjwa.
 
Mungu mwenyewe anyoshe mkono wake wa uponyaji, amsimamie bi mkubwa na kumrejesha katika afya, Mu Ingamu ja Yesu Krisitu!
 
Back
Top Bottom