daaaahhhh jamaa alivyo mgumu sijui kama ataachia huru "Pussy"
Putin hataki Pussy wala Kitty
Hatari kubwa
...LoL! G...nasikia anapenda ubabe tu
Nna wasi wasi nae huyu mtu, ubabe hadi kwa Pussy and Kitty!
Kwa dogs and donkeys itakuwaje?!
....Hahahahahah lol! hujasikia wengine wanazipigia push ups? LoL! akionyesha kifua chake tu Pussy/Kitty lazima ishike adabu
La haula...
huo sasa msiba.
vipaka vya watu vishikishwe adabu, huuuh!
Wapi watetezi wa haki za wanyama?
Mi nilidhani ile PUSSY nyingine!!
wale mademu walikosea sana .. Inabidi wakajipumzikie tu kwa sasa hadi siku zao ziishe