'Pushy Parents!'...sahihi?

Afu kuna kitu hapa tuna over look. Mtoto tunaemzungumzia ni wa umri gani? Mimi nanunua a na kusoma sana vitabu vya saikolojia ya malezi na huwa na take time to do psychological tests ambazo zimo kwenye hivyo vitabu. Wataalamu wanasema umri wa mtoto kuwa trained na wazazi unaishia miaka saba. Akivuka hapo anakuwa keshakomaa akunjiki. kwa hiyo wazazi wenzangu zingatieni hilo. Try to guide your kids the way you think is good for their future before they turn 7.

...duuhhh, hii inatisha sasa, yaani mikoba yote inaishia na 'baa baa black sheep!' anapo graduate kindergatten?
Anyway, mfano; Nikiangalia kwingineko duniani, kwenye michezo na burudani na matokeo ya mzazi kuwa 'pushy!'...
wbwilliams_wideweb__430x298.jpg
YoungLewisES_228x326.jpg


MICHAEL-kid-300x221.jpg


...wote hapo juu Venus & Serena William, Lewis Hamilton, Michael Jackson ( :rip::pray:) na Tiger Woods wameweza kuwa Iconic figures world wide na kujikusanyia mamilioni ya dollar.

Sio siri, kila mmoja wetu amejaaliwa kipaji fulani. Mashaka ni kujitambua/au mzazi kutambua kipaji
chako na mapema.

Nadhani kuna faida mzazi kuwa pushy iwapo opportunity zita arise,
650d35103a3411b750e6e56d097b-grande.jpg
...Mechanical prodigy. Ubunifu kama Mr Kiichiro Toyoda (Toyota), Mr Soichiro Honda, etc ulianzia wangali na umri mdogo sana...

_44290212_01_p1010002.jpg
...kama akiendelezwa mambo ya symmetrics (japo modernists wanapinga!) anaweza kuwa among the best Architects in the world
24688_future_driver__Africa.jpg
...Organisation na Leadership skills. Huyu akipewa nafasi atatuongoza vizuri, na kwa mujibu wa picha atakuwa Mume mzuri sana, 'hic!'...au?

...Wazazi hebu tuchungue vipaji vya wanetu. Na kama alivyosema Nyumba Kubwa, ukichelewa na kijana/binti akishavuka 7yrs ndio umeula...shime tuwawahi na mapema badala ya kuwaharibu na Big Brother Africa!
 
Back
Top Bottom