Push Up 200 kwa Siku ni hatari kwa Afya!!

Mimi daily lazima nipige push-up 200 kila hasubui ,

Napiga 20 raundi inayofata napiga 19 then 18 then 17 ,yaani napiga kwa kupunguza moja moja mpaka nikifikia push-up 5 .zinakuwa zimekamirika 200
 
Mimi daily lazima nipige push-up 200 kila hasubui ,

Napiga 20 raundi inayofata napiga 19 then 18 then 17 ,yaani napiga kwa kupunguza moja moja mpaka nikifikia push-up 5 .zinakuwa zimekamirika 200
Unatumia masaa mangapi kufikia hizo 200? Hunaga kazi za kufanya asubuhi inaonekana.

Mimi kila asubuhi napiga 20 awamu tano, zinakuwa 100. Usiku sipigi, nakua nimechoka, nimeshiba.
 
Unatumia masaa mangapi kufikia hizo 200? Hunaga kazi za kufanya asubuhi inaonekana.

Mimi kila asubuhi napiga 20 awamu tano, zinakuwa 100. Usiku sipigi, nakua nimechoka, nimeshiba.
sina kazi za kufanya??

Well,
kawaida yangu daily kasoro j 2 tu ,
uwa naamka sa 11;40, najiaandaa ,sa 12 naingia road nakimbika kwa dk 30 ,

Then naingia uwanjani nanyoosha viungo ,nacheza mazoezi ya tumbo na kadharika,

Ikifika sa 1:00 naanza push-up zangu , napiga push-up 200 ndani ya dk 15,

Nikimaliza narudi home naoga najiandaa mpaka sa 2:00 nakuwa nishafungua golini kwangu.

Nb: saa nikiwa mazoezini nikifaa muhimu ambacho akibanduki mkononi.
 
Nilipofika Dar kikazi mwaka 2011
Nyumba niliyokuwa naishi hapa Kkoo,Chini yake ndio ofisini
Kwa maisha haya,nilijikuta naanza kupata Uvivu wa hali ya Juu
Kwasasa nilivyo,ni zaidi ya Uji wa Mgonjwa

Dah
Nimepata na Kitambi kabisa
Kila nikifiria kuanza,napatwa na uzito wa ajabu,na nikianza ndani ya wiki mbili na zaidi,nitaumwa hatari
Nikipona,mazoezi ndio basi

Ila
Nakumbukia enzi zangu za mazoezi,niliishi maisha ya furaha sana.
Ndugu zangu
Mbarikiwe sana
Mazoezi ni dawa
 
Siri ya mazoezi ni muendelezo.

Ukiyahacha yanakuhacha pia.
 
Mimi nikipiga Push up...kwa lengo la kuongeza body....najikuta napungua....kama nakonda ivi....nikiacha mwili unarudi hali yake ,,,,nakosea wapi wakuu?
 
Ukitaka uharb biashara ya vumbi la Congo na mchuz wa pweza docta aseme kweny TV kwamba push up zinaongeza nguvu za kiume na kuchelewa kuwaona wazungu utaona asubuhi vijana wanavopambana
 
huwa napiga 300 kila siku, siku nikiwa nipo kwenye mood sana napiga 300+ na siku nyingine nikiwa sipo kwenye mood kama leo nimepiga 200 tu. Siku hizi najitahidi nafanya na squart kidogo.

kuna kipindi nilikua napiga asubuhi na jioni, asubuhi napiga 100 na jioni napiga 250 au 300, kaka achaa..nilikua pande la jitu.

Alafu ukiwa unakula unashiba vizuri mwili uwe mzito mzito, ma push-ups
yanapasua kifua balaa, sasa sijui ni kwangu tu au na wengine ni hivyo.

napenda push-ups sana nahisi nimeshakuwa addicted siku ikipita sijafanya najihisi hovyo.

nb. natumia push-up pads zile kubwa
Mkuu sijawah ingia gym mazoez yangu ni push ups na kukimbia uwanja..ila ukiniona unaweza kuhisi nakesha gym

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: ywf
Back
Top Bottom