kimsingi inabidi tuwaunge mkono mkono CHADEMA Kwa mkakati wao wa kuwajenga vijana ili kujenga safu mpya wa wapinzani vijana walioandaliwa....
hivi lipumba kanunuliwa na ccm? acheni speculation hizo
mzee wa pwani ...sio speculations..ndio hivyo tena CUF watafute mwenyekiti na katibu...aliyesema LIPUMBA NDIO MCHUMI GENIOUS kuliko wote nani??? ile post hangeweza kupewa bila KUPENDEKEZWA huko UN[?]..NA serikali ya jamhuri ya muungano pia impendekeze ,[vetted]..sasa unafikiri waliompeleka huko wanampenda sana au?? na kama angekuwa hajachoka na mambo ya CUF alikuwa na haja gani ya kukubali kuhamia huko..acha kukubali kazi maana hata kabla alikuwa anafanya consultancy za hadi miezi mitatu mfulululizo bila kuadhiri chama ..sasa hii ni permanent...serikali inao watu wengi tu ambao ingewweza kuwapendekeza kwa hiyo kazi....
pili nilishawahi kupost hapa kuwa hii kitu inaitwa muafaka ilikuwa na danganya toto..na rushwa ya waziwazi kwa viongozi wa cuf..kuwa keep busy kila siku hadi miaka mitano inaiosha wanaenda uchaguzi wanashindwa life goes on ..wana uhakika baada ya uchaguzi vikao vya muafaka vinaendelea ..ipo siku niliwakuta wajumbe wa baraza kuu walio kwenye vikao kila mmoja akijisifu namna alivyonunua gari mpya dubai kwa posho za vikao visivyoisha....
pia jiulizeni kwa nini lipumba apewwe kazi hasa baada ya wanachama ku revolt na kumtaka awape majibu ya vikao visivyoisha vya muafaka ..tangu hapo kaingia mitini na KAZI JUU..
i hope maalim will also go ..and there comes juma duni haji and hamad rashid....
akwilombe hana lolote alinunuliwa na ccm [makamba] kwa bei ya tsh 7,000,000 /= mwenzake hizza tambwe alinunuliwa kwa tsh 30,000,000/=..na lipumba naye kashanunuliwa kwa kuwa recomended ajira newyork....maalim kama mnavyojua kashapatiwa mafao yake na pesa kedekede kilele zimekwisha.............
kimsingi inabidi tuwaunge mkono mkono CHADEMA Kwa mkakati wao wa kuwajenga vijana ili kujenga safu mpya wa wapinzani vijana walioandaliwa....
kwa safu mpya ya vijana waliyo nayo wasiyo nunulika hii ni njia nzuri,
cha kujiuliza hivi mnadhani leo hii wapinzani wakiingia IKULU/SERIKALINI kutakuwa hamna rushwa ?mie naangalia tu !