Purple Corns in Thailand.


MadameX

MadameX

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2009
Messages
7,839
Likes
87
Points
145
MadameX

MadameX

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2009
7,839 87 145
Yapo mkuu....nishakwambia rudi nyumbani please uje uone maajabu mengi tu!
 
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Messages
43,162
Likes
40,565
Points
280
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2009
43,162 40,565 280
MziziMkavu shambani kwangu kuna mahindi colourless


Mahindi Meusi yapo nchini Thailand tu kwingine hakuna. Je yapo hapo Tanzania Mahindi Meusi?
 
Last edited by a moderator:
SuperImpressor

SuperImpressor

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
1,036
Likes
16
Points
135
SuperImpressor

SuperImpressor

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
1,036 16 135
Dawa ya bhonana
 
Safari_ni_Safari

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2007
Messages
23,232
Likes
7,103
Points
280
Safari_ni_Safari

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2007
23,232 7,103 280
Kwetu yanaitwa Kifyangafyanga na hayaliwi
 
life is Short

life is Short

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2013
Messages
3,909
Likes
861
Points
280
life is Short

life is Short

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2013
3,909 861 280
WoooooW, neema za moula kwahiyo ugali utakuwa kaZambarau !!
 
sili

sili

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2011
Messages
302
Likes
116
Points
60
sili

sili

JF-Expert Member
Joined Nov 10, 2011
302 116 60
hii nchi ina maajabu mengi sana likiwemo suala la rushwa na umasikini..
 
mwaJ

mwaJ

Tanzanite Member
Joined
Sep 27, 2007
Messages
4,076
Likes
16
Points
135
mwaJ

mwaJ

Tanzanite Member
Joined Sep 27, 2007
4,076 16 135
Yapo lakini mara nyingi unakuta ni mbegu chahe za zambarau kati ya mbegu nyeupe.
 
N

Njalamatata

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2010
Messages
285
Likes
55
Points
45
N

Njalamatata

JF-Expert Member
Joined Jul 12, 2010
285 55 45
Yapo maeneo ya Mlowo na Mwakaleli huko Mbeya,pia yanapatikana baadhi ya maeneo ya Mbinga mkoani Ruvuma (hii ni kati ya 2004-2010) sijafuatilia baada ya hapo.
 
kabanga

kabanga

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Messages
32,019
Likes
5,336
Points
280
kabanga

kabanga

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2011
32,019 5,336 280
hata yakiwa yanapatikana ni kiasi kichache sana....
 

Forum statistics

Threads 1,273,084
Members 490,268
Posts 30,470,742