goodfool
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 1,668
- 996
Sante. Ila saiv inakuwa kama msumari. Huwa nikisex nahs kama dem namgusa kuta za mwishoPole
Sante. Ila saiv inakuwa kama msumari. Huwa nikisex nahs kama dem namgusa kuta za mwishoPole
Hongera umepona km mtoa madaSante. Ila saiv inakuwa kama msumari. Huwa nikisex nahs kama dem namgusa kuta za mwisho
Mzee mzima acha kuwashughulikia hapa hhahahaahahaHa ha ha, kuna watu watakuwa wameshaenda PM kuomba blog.
Hakuna kutoa mpaka wajiseme hapa.
Hivi hunter bado hujasoma kweli hapaThread ndefu nitarudi kusoma baadae
Miongoni mwa waathirika mimi ni mmoja wapo nilijiunga rasmi na kupata uanachama huo kuanzia 2007 mpaka October 2015, baada ya kuona madhara makubwa sasa yameshanianza, nipo ktk kujitibu lkn nimegundua sikuathirika zaid physical na nimeathirika zaid mentality mana nikiona chupi dukan tu dude linaamka na hapo nitaanza kutoka yale marenda renda
Mzee mzima acha kuwashughulikia hapa hhahahaahaha
Nashukuru Mkuu, natumia hii ID kwa siku 5 mfululizo na nitakaporudi kwenye ID yangu ya miaka yote sitarudia tena. Nilitaka ujumbe ufike na umefika na nimejibu baadhi ya maswali na pia kujibu pm zote kwa waliohitaji kwa maswali binafsi .Mkuu Nimepona nakukumbusha kuwa makini katika kutumia hii id kuna wakati unaweza kuchanganya mafile ukareply kwa id yako ile ya mwanzo
Mkuu upo vizur..kikubwa ni uaminifu tuu...kuna nyuzi nyingi zinamaelezo mazur..Mkuu wala usitie shaka, kwa mwanachama mwaminifu hata madhara yake huwa invisible![]()
Kesho kutwa karibu ninasherehekea miaka 30 ya uanachama.![]()
Aiseee, umenizidi miaka 2 tuu kwenye chama!!
Kuna kipindi nilitaka kuacha, eeeh bhana sikukata hata wiki nikajirudisha kundini mwenyewe!!!
Chama invisible Members nao invisibles Unajuaje kuwa naye anayesajili naye ni invisible member? Pia Invisible na Invisible Elly nao pia ni invisibles.Mkuu hiki chama(invisible) ambacho members ni invisible, na mwenyekiti ni invisible bora utoke mkuu kina madhara ya kudhalilisha mkuu. Chaputa kifutiwe usajili
Mkuu usinilishe maneno na naomba uwatake radhi uliowataja, mie sikumaanisha hao uliowaandika. Nilimaanisha watu wasiofahamika/ wasiojulikana na kila mtu anaenda kimya kimya. Umefanya kosa kutaka kuhusisha comment yangu na hawa ndugu. Omba radhiUnajuaje kuwa naye anayesajili naye ni invisible member? Pia Invisible na Invisible Elly nao pia ni invisibles.
Nimeshaisoma na nimemuelewaHivi hunter bado hujasoma kweli hapa