- Thread starter
- #61
Asante mkuu, ila mie sio member wa chaputa tena. Sitamani kuona mtu kwenye hili janga tenaTunashukuru mhenga wa chaputa kwa wosio najua kwa uzi huu kuna watakaokusikia na kuacha kuna wengine ndio utakuwa umewabusti wakazane kupiga nyeto Kana kwamba kuna tuzo watapewa pia kuna wanachama wapya wa chaputa watazaliwa.
Uzi wako ni kama dawa una tibu lakini kuna side effect kumbuka wakati wengine wanakufa wengine wanazaliwa,pia wakati wengine wanastaafu wengine wanaajiriwa.