Punyeto: Nilivyoanza, nilivyoacha na hali ya sasa

Punyeto: Nilivyoanza, nilivyoacha na hali ya sasa

.....................................Vijana mnaotaka kuuanza huu mchezo angalieni faida zake na hasara zake...hasara zake hazimithiliki wala hazielezeki kama unaweza kuu-control mwili wako fanya hivyo kuepuka kadhia hizi.

Believe me,mwanaume hana kingine cha kuringia kama kuwa na nguvu za kiume kisawa sawa hata akiwa na pesa vipi na sura nzuri akizikosa hizi hela zake au sura yake nzuri ni kazi bure!"SAY NO TO PUNYETO KUULINDA UANAUME WAKO"
 
Tunashukuru mhenga wa chaputa kwa wosio najua kwa uzi huu kuna watakaokusikia na kuacha kuna wengine ndio utakuwa umewabusti wakazane kupiga nyeto Kana kwamba kuna tuzo watapewa pia kuna wanachama wapya wa chaputa watazaliwa.
Uzi wako ni kama dawa una tibu lakini kuna side effect kumbuka wakati wengine wanakufa wengine wanazaliwa,pia wakati wengine wanastaafu wengine wanaajiriwa.
 
Waleta nyuzi wengne mnakera, unaleta uzi unahtaj maswali ya kujibu halaf wewe unaandika unasepa, unasaidia nini sasa. Umeulizwa na wadau hapo juu maswali ambayo wengne tunataka kujua pia, we unatuambia sijui unavuta msuli, hutuelez kivp n msuli gan? Na ukaulizwa watoto ulipata? Mana kuna nadharia kama kwa aliyepiga nyeto sana watoto kupata n shda
 
Punyeto kuiyacha ni kazi sana, ni kama vile madawa ya kulevya
 
hahahahahahaaa......mkeoa umefanikiwa kumjaza?
Kuna kasumba kuwa chaputa hawawezi kuzalisha kutoka na tatizo kama langu. Sio kweli, yaani uume ukisimama na Mbegu zikafika basi mimba hutokea.
Mie nina watoto wawili na nataraji mwingine wa 3 soon.
 
Hongera
Ila unge highlights aina ya mazoezi unayofanya mkuu
Kwanza blog yenyewe siikumbi maana ni muda mrefu nilisoma ila nikawa nimeelewa kidogo kichwani nikaanza. Kiufupi nilitaka tiba bila madawa.
Na majuzi hapa huo niliona mtu amepost humu MMU.

Iko hivi.
-Nilianza kutumia tangawizi karibia kwenye vyakula vingi. Tangawizi inasisimua misuli. Nikatimia na asali na mdarasini, na matunda.

- Zoezi lilihusu kuipa nguvu misuli iliyolegea kwa kujichua. Kujichua kunaifanya misuli kukosa nguvu.
Nakuwa nafanya zoezi kama vile la kuzuia mkojo. Yaani kama vile imebanwa na mkojo lakini unavuta msuli kuzuia. Sasa nimekuwa nafanya hivyo mara kwa mara, niwe ofisini, nyumbani, popote. Halafu nakuwa kama naufanya uume usimame mara kwa mara huku nikiendelea na vinywaji vyangu mara kwa mara. Kama una nafasi nzuri ongeza na mazoezi ya viungo.
Baada ya kufanya hivi mara nyingi takribani miezi kadhaa nikaanza kuona matokeo na ikaanza kuridhisha.
Kuna mtu alileta uzi huo humu naomba atusaidie
 
Mtoa mada hukupona tatizo la kusimamisha kwa sababu ya tiba uliyosema bali kwa kuwa uliamua kwa dhati kuwa unahitaji na ukaamin hivyo.
Tatizo la kupata shida kusimamisha au kuendelea kusimamisha pindi mtu anayepiga nyeto kupindukia liko kichwani zaidi kuliko kuwa physical iilness.
Google Erectile dysfunction ndio utagundua kuwa Punyeto haijatajwa kama sababu mojawapo wala risk ya kupata erectile dysfunction, inatajwa kijumla katika kundi la psychological causes. Unaweza pia kutafuta The Truth About 8 Masturbation Myths.
Asante, ila nakwambia kuwa punyeto inasababisha misuli kulegea. Kuna kipindi shahawa zilikuwa zinatoka zenyewe mkuu.
Nadhani utapotosha badala ya kusaidia watu
 
mkuu unge weka hapa kla kitu kwa msaada wa wote hio blog na mazoez hayo kuondoa maswali
Kwanza blog yenyewe siikumbi maana ni muda mrefu nilisoma ila nikawa nimeelewa kidogo kichwani nikaanza. Kiufupi nilitaka tiba bila madawa.
Na majuzi hapa huo niliona mtu amepost humu MMU.

Iko hivi.
-Nilianza kutumia tangawizi karibia kwenye vyakula vingi. Tangawizi inasisimua misuli. Nikatimia na asali na mdarasini, na matunda.

- Zoezi lilihusu kuipa nguvu misuli iliyolegea kwa kujichua. Kujichua kunaifanya misulikukosa nguvu.
Nakuwa nafanya zoezi kama vile la kuzuia mkojo. Yaani kama vile imebanwa na mkojo lakini unavuta msuli kuzuia. Sasa nimekuwa nafanya hivyo mara kwa mara, niwe ofisini, nyumbani, popote. Halafu nakuwa kama naufanya uume usimame mara kwa mara huku nikiendelea na vinywaji vyangu mara kwa mara. Kama una nafasi nzuri ongeza na mazoezi ya viungo.
Baada ya kufanya hivi mara nyingi takribani miezi kadhaa nikaanza kuona matokeo na ikaanza kuridhisha.
Kuna mtu alileta uzi huo humu naomba atusaidie
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom