Sijawahi kukutana na uzi mzuri na wenye hitimisho nzuri kama huu! Asante mleta mada, asante.Na Jumaa Kilumbi,
31.10.2022
Punyeto ni nini?
ni kitendo cha kujiridhisha kingono kwa kujichua sehemu za siri.
Lakini ieleweke kuwa Punyeto ni kitendo cha kiasili kibailojia na hufanywa na watu wengi sana
Kuangalia porno hapo sawa na kuangalia uchi wa mtu/watu ambao si halali kwako kuuona ,tena kwa kkusudia hapo ni dhambi yenye uzito mkubwa kama mgongo,mikono n.k ya mtu ambaye si mke wako si ruhusa kutazama isipokuwa kwa dharura za kihaja zilizothibiti kisheria vipi ikiwa uchi kabisa ?Nimependa bandiko...lakini Bora ungeelezea hoja zako vizuri bila kumtaja Zakir Naik, maana ni boya mmoja asiyejua kupangilia hoja yoyote
Hapo amesema punyeto sawa ila sio ile ya kuangalia porno, kwanini?
Weka aya sio mbambambaKuangalia porno hapo sawa na kuangalia uchi wa mtu/watu ambao si halali kwako kuuona ,tena kwa kkusudia hapo ni dhambi yenye uzito mkubwa kama mgongo,mikono n.k ya mtu ambaye si mke wako si ruhusa kutazama isipokuwa kwa dharura za kihaja zilizothibiti kisheria vipi ikiwa uchi kabisa ?
Kuwa specific aya kuhusiana na nini ?Weka aya sio mbambamba
Aya Hiyo kuhusiana na kumchungulia mtu sio halaliKuwa specific aya kuhusiana na nini ?
Mtu kumchungulia mtu ambaye si halali kwako hilo swala ndio linaloifanya porno kuwa katika list ya madhambi yenye uzani .
Mkuu katika uandishi wa mambo ‘serious’ kama haya ni muhimu kuweka vyanzo vya maarifa hiyo huitwa ‘intellectual honesty’ na ndiyo maana nimenukuu Biblia, Quran na Dr. Zakir Naik maana ndiyo vyanzo vyangu.Nimependa bandiko...lakini Bora ungeelezea hoja zako vizuri bila kumtaja Zakir Naik, maana ni boya mmoja asiyejua kupangilia hoja yoyote
Hapo amesema punyeto sawa ila sio ile ya kuangalia porno, kwanini?
Cha kwanza ni kufunga ili kupunguza matamanio, kama hayatapungua basi fomula ifuatayo itumikeNipo kijifunza hapa ila nataka kujua upo safarini upo mbali na nyumbani ipi Boraku kizini au punyeto?
Kivipi?Kuna kitu kinaitwa Jamuhuril ghulamaa [msimamonwenye nguvu kulingana na dalili]....
Punyeto ni haramu.... kutokana na dalili ulizozitaja....
Na Mtume amewataka vijana waoe au wafunge....
Jamani mtatufanya our night to be much more longer kwa kuwa na wenza walioathirika na punyeto...
Ndiyo, utouti ni wa wazi.Je kuna utofauti wowote wa mwanaume kumwaga njee wakati wa tendo la ndoa vs kupiga nyetooo?
Kweli kabisa hata asilimia 98 ya haya pia yanafanywa na medhehebu mengine, waisalam, wasio na dini. Hata wewe pia unahusika. .Bahati mbaya asilimia 98 na hayo ulio orodhesha hapo ndio yanafanywa na wakatoliki haswa viongozi wao, na udhibitisho hivi juzi kiongozi mkuu alikiri kufanyika kwa hayo uliosema na viongozi wenzake.
Kataa NdoaNdoa
Hiyo ya kwanza Qu'ran ikitaka kuepuka kutizama mtu kimatamanio hapo hata ukikutana na mdada kavaa hovyo njiani ,je itakuwaje pale mtu anapokusudia tena anoona uchi ulio mkubwa zaidi kwa makusudi ?Aya Hiyo kuhusiana na kumchungulia mtu sio halali
Nyeto ni dhambi katika muktadha wa kwamba ni lazima ihusishe fikra ya kumtamani mwanamke hata kama ni kwa imagination tuu!...sasa Yesu katika biblia aliwahi kusema "Amtazamaye mwanamke kwa kumatamani tayari kiroho inahesabika amekwisha zini naye"...sipo deep sana kwenye neno hivyo nimeshindwa kutaja huo mstari unatoka wapi..ila huo mstari kwenye bible upo.Mkuu una uhakika uasherati unajumuisha upigajinpunyeto wu ni tafairi yako ya namna ulivyoelewa andiko?
Kwa maelezo jadidi ya biblia kama ingelenga kukataza Punyeto ingesema moja kwa moja maana imeweza sema kuhusu wafiraji nini Punyeto Mkuu?
Katika mazingira hayo umeshauri ufunge kupunguza hamuNipo kijifunza hapa ila nataka kujua upo safarini upo mbali na nyumbani ipi Boraku kizini au punyeto?
Kwanini mkuu?Kataa Ndoa
Hiyo ni Matthew 5:28Nyeto ni dhambi katika muktadha wa kwamba ni lazima ihusishe fikra ya kumtamani mwanamke hata kama ni kwa imagination tuu!...sasa Yesu katika biblia aliwahi kusema "Amtazamaye mwanamke kwa kumatamani tayari kiroho inahesabika amekwisha zini naye"...sipo deep sana kwenye neno hivyo nimeshindwa kutaja huo mstari unatoka wapi..ila huo mstari kwenye bible upo.
Ni rahisi mkuu, hapo tunakuwa na tatizo la aidha Dada zetu na mama zetu wawe michepuko ya waume waliooa mke mmojaSawa umesema,
Hata Papa alisema.
Idadi ya wanawake ni kubwa kuliko ya wanaume.
Uje na suluhisho