PUNYETO: Je ni dhambi, Kosa kisheria?

PUNYETO: Je ni dhambi, Kosa kisheria?

nadhani sio dhambi maana hakuna uchafu wowote unaoupata kimwili.ila sijui kwanini mtu ukimaliza kupiga punyeto unakosa amani
Ni DHAMBI ya makusudi kabisa mbele za Mungu na ndio maana unakosa amani.

Hata Adamu alipokula tunda alikosa amani kabisa na kwenda kujificha ili asiuone uso wa Mungu.
 
Na wale wachungaji wanaolawiti watoto makanisani nao wanaongozwa na roho mtakatifu kufanya hivyo?

Naomba unisaidie majibu dada nanyupu.
Sio wachungaji tu wafanyayo hayo ila hata maimam mashoga wapo wengi tu na zaidi ndio wenye wauminin wengi zaidi.

Pia unajua kuwa waarabu walio waislam wanawafir*a sana wake zao na ndio maana huwa hawaangaiki na bikira za mbele za wachumba zao?

Unataka ushahidi wa hayo ewe muumi'nin?
 
Hi everyone.Wapendwa poleni na michakato,nina maswali please nisaidie majibu. Je kumusturbate ni dhambi kwa Mungu cuz unaweza musturbate bila kumuwaza mwanaume yeyote ila tu unataka kupunguza tu nyege then unaamua kufanya hivyo.Je ni dhambi kwa Mungu?

Na kingne mtu mwingne ana musturbate mpka aangalie porn hiyo nayo ni dhambi kuangalia porn wakat unataka kufanya yako? La mwisho hizi porn za GAY pia ni dhambi kuzitazama? Cuz wengne wanaanglia kusikiliza milio ya wanaume ili na yeye aridhike lkn siyo kwamba anasupport gay,

All in all ni mambo ya nyege tu afu unakuta mtu ni single hana wakumsaidia.Please naomba msaada.Maswali nimeyachukua sehem hope yatatusaidia wengi .
Kikristo NI DHAMBI YA MAKUSUDI KABISA mbele ya Mungu wako.

Mbaya zaidi ni dhambi yenye majuto na inayozuia baraka za Mungu na kuondoa ukaribu wa Mungu kwako.
 
Samahani najua Leo jumapili na sitaki kuharibu upako wa mtu yeyote

Nauliza tu Eti Kujipiga Punyeto ni Dhambi? !

Kuna shogangu amenunua "Dildo" huku nilipo analitumia mana yupo mbali na mumewe ananiambia mimi sijui kuchepuka mchepuko wangu ni punyeto ya Dildo tu

Kama ni Dhambi naombeni maandiko ya keen ye vitabu vya Dini

 
Hakuna cha kosa wala nini. Kwanza "chaputa" ni Sunnah kwa sisi watu wa dhehebu letu. Soma kitabu cha nabii Kunguru waraka wa tatu hadi wa 9. Imeandikwa kabisa...... Jamani tuacheni na chaputa yetu eeh! Chaputa hoyeeeeeh
 
Back
Top Bottom