Naona watu wanakusengenya badala ya kukupa mawazo mbadala jinsi ya kuacha...
Naomba kujua unapiga punyeto kwa kuvuta tu hisia au kwa kuangalia porno?..
Unasema unapiga Mara mpaka 3 kwa siku hata baada ya huu Mwaka mmoja wa kuoa. Je ina maana Ni mchana tu au hata Usiku ukiingia bafuni?.
Mke wako anakutishia tu ili uache hiyo Tabia ya kishenz iliyopitiliza .
1. Epuka vishawishi vinavyoweza kufanya utaman ngono, porno, kuangalia wanawake matako, mapaja, yaan ukiwaona geukia pemben kabisa.
2. Usikae muda mwing mwenyewe.
Na hamu ya Ngono ikikujia, chukua simu yako mpigie rafik /ndugu yako yoyote mpige story mbili tatu.
3. Ukienda bafuni nenda oga na wife..
Dawa ya punyeto inaanzia kwenye mind. Ni jinsi gan unaweza kuukwepa tricks ambazo Ubongo unakuchezesha coz we ulishauozoesha Ubongo..
Anyway leo ngap ushapiga

