Dawa hakuna.
Oh no ipo moja... ni kuacha hiyo tabia mara moja!
Itakuharibu ki saikolojia, itaharibu mfumo mzima wa asili yako kama mwanaume...na itakuachia msongo wa mawazo.
Narudia tena, acha hiyo tabia mara moja!
So far imeshakutafuna sana, kwaiyo way forward ni kujaribu kurudisha asili iliyo mbioni kupotea kabisa.
Naamini mpaka saivi umesha amua kuacha.. right?
Kama jibu ni ndio, basi vizuri maana kila mabadiliko kwenye maisha yanaanza na kuamua. Ila sasa...
Ile hamu ya kutaka kuendelea kufanya huo mchezo haitaisha kwa mara moja kama unavyozima taa. Ni lazima iwe inakutembelea mara kwa mara (ofcourse ilishakua tabia so lazima ikusumbue) ni kama tumbo ukishalizoesha chakula lazima usipokula likudai kwa njaa.
Ila hapa hii hamu hautaisikiliza kama unavyofanya ukiwa na njaa. Hapa utatakiwa kuidhoofisha hiyo hamu hadi ife yenyewe i.e. usithubutu tena kufanya huo mchezo. Do you get it?
But unahitaji msaada wa haraka sana, quick reforms. So tuongeze na hizi njia zingine zikiambatana na hiyo ya kuacha kabisa.
1. Mazoezi ya miguu (kukimbia,mpira, kichura n.k. {achana na story za kegel ni bullshiiiiieeet}
2. Go veggie (zingatia mboga mboga na matunda na maji mengi kiasi kadri unavyoweza).
3. Ongeza muda wako wa kupumzika uwe unalala at least masaa 9 hadi 10 kutokana na hali yako.
4. Punguza kula nyama na vyakula vyenye sukari na mafuta mengi.. narudia tena kwa herufi kubwa ikiwezekana acha SUKARI kwa muda huu wa recovery (Nitaelezea in detail ni nini hasa vyakula vyenye sukari huwa vinafanya kwenye mwili nxt time...)
La mwisho; Wewe ni mtu mzima. Fanya mpango wa kuwa na mwenza serious (kama hauna bado) ambaye yupo vizuri upstairs. Mshirikishe kuhusu hali yako unayopitia akusaidie kupambana nayo kwasababu wewe ni mgonjwa tayari na hutakiwi kuwa mpweke muda mwingi.
Pia jitahidi kujichanganya na watu wengine kama ulivyofanya hapa ila in real life na utarudi kuwa sawa!
Get well soon!