Punyeto haimalizi nguvu za kiume mimi ni shahidi.

Punyeto haimalizi nguvu za kiume mimi ni shahidi.

•Kama tayari umeshaoa basi ni dhambi kubwa sana kuendelea kupiga punyeto, utaishiwa nguvu na unaweza kukosa kumpa ujauzito mkeo siku za usoni.
Sio kweli kwanini mnasema uongo ili mpate nini? Sishughuliki na hizo mambo ila ulichoandika kuanzia mwanzo hadi mwisho ni uongo kuwatishia watu kwa kitu cha uongo, nikufungue sasa mambo mengine ni siri ila unaelewa nini maana ya Delayed Ejaculations/retarded Ejaculations/impaired Ejaculations?
 
🤣🤣 Dr ninaye muamini East Africa Dr Greyson Babishomba alisema hakuna uthibitisho wa kisayansi wa athari za masterbation kama zinavyoelezewa. Siwezi kuwapinga tena 🤗🤗 Mbaga Jr secretarybird
Takbir

Wauza dawa za nguvu za kiume waongo sana, wameangalia watoe sababu gn ya ukosefu wa nguvu za kiume, wakaona waje na nyeto mana 99% ya wanaume wamepitia huko.

Hata chips haimalizi nguvu za kiume, kama huna ni huna tuu.

Nguvu za kiume ni zawadi kutoka kwa Sir God, n kama kuzaliwa mweupe, mweusi, mfupi, mrefu n.k
 
Ukiwa na miaka 11 utakuwa na dushe kweli?? au ulianza balehe na miaka mingp??
Mm nyeto nimeanza tangu nikiwa tumboni mwa mama yangu, sembuse huyo ana miaka 11.

Dingi alinambia bimkubwa alikuwa anatapika Sana, Sasa dingi akienda kuangalia Yale matapishi anakutana na bao, hapo ndipo alipojua mm mwanae n mnoma wa nyeto.

CC
Fake P
 
Naona mada za Punyeto zinazidi kupaa kila siku na tena zaidi kuna wanajigamba kwamba wao ni magwiji..Sasa niwaambie nyie mnaojiita Magwiji..Avumaye Baharini ni Papa lakini kumbe kunazaidi yake? Huyo zaidi ya papa anawashauri Acheni kupiga Punyeto acheni kumchosha Bimkubwa (Left Hand)..Punyeto na Kamari havifai kabisa...
 
Najitolea kukutafutia chumba chako peke yako VIP hapa hospitali ya Dodoma ya nyie wenye ongezeko la akili.🤣🤣🤣
 
Sio kweli kwanini mnasema uongo ili mpate nini? Sishughuliki na hizo mambo ila ulichoandika kuanzia mwanzo hadi mwisho ni uongo kuwatishia watu kwa kitu cha uongo, nikufungue sasa mambo mengine ni siri ila unaelewa nini maana ya Delayed Ejaculations/retarded Ejaculations/impaired Ejaculations?
Eh Mimi SIJUI nachojia punyeto iliniathiri na kufikia sperm count KUWA down kuka 40m MPAKA 20m na foward motility ikawa 20% back motility ikawa 30% HAYA ni maelezo ya Dr ikabidi nianze mazoezi na kula sana kk arabga na protein mwanzo nilijua wife NDO MWENYE shida LAKINI uzalishaji ukawa poa HATA mbegu zilikuwa nyepesi before.

NB hiyo ni kopi na paste but hii natalk kutoka KWENYE experience yangu ma dr watasahihisha
 
Uko sahihi ila ninatamani kujua experience yako unapiga kila siku mara ngapi na je una UWEZO wa kupiga bila kutazama content za ngono?je sometimes unakaa mpaka week bila kupiga?
Pichs za ngono zina madhara mkuu ,, maana hiyo ni camera so wanaweza kuedit mambo ambayo ukija kuyakosa yata kuathiri pia wanachagua wanawake warembo na filter akili yako ikizoea utamwona mke wako kama kinyes
 
Nimepiga puchu tangu nikiwa na miaka 11 leo nina miaka 44 lakini bado nipo ngangari kitandani.msidanganywe na wauza madawa mkapotezq ela zenu bule.
Endelea mwamba utamu unao mwenyewe 😅😅😅
 
Back
Top Bottom