Punyeto haifai kiafya ndugu zangu

Ndoo unajua leo?
 
Punyeto Ni Kama Dawa.
ikikukataa Aleji yake ndiyo hiyo
lakini ikikukubali hahaha..uta enjoy

Mwaka wa 20 Huu,napiga punyeto na Mzigo nakula round 5 Kama kawa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Unajisifia upumbavu lazima utakuwa tasa wa kiumeee!!!
 

Mkuu ulichukua mda kutoka kuanza mazoezi mpaka kujiona tayari ushakua sawa kimwili?
 
Hiyo kitu acheni tu jaman,enzi zile kulala bila punyeto haiwezekani pia kuoga bila kuonja ilikuwa ngumu,ilifikia sehemu hata ukipata mwanamke unatamani uanze na punyeto kidogo ili uweze kufanya tendo kwa utulivu bila wasiwasi,ila namshukuru mungu leo natimiza miaka 22 bila hamu ya punyeto,huu ni ulevi kama dawa za kulevya!
 
"Nyeto is life , life is nyeto" mwanaume bila nyeto maisha yako yatakuwa mafupi Sana hapa duniani..watu tumeoa na nyeto tunapiga...kwa msaada zaidi jitahidi uzijue faida zake..mojawapo ni kusaidia kupata usingizi murua.
Nimechekaaaaaa sanaaa
 
Jasiri haachi asili....
 
Hiyo uliokuwa unapiga wewe sio punyeto nigga

Let tell you something

Wapiga nyeto wote kwanza bao la kwanza wanaenda kupiga chooni kama hujui alafu ukitoka huko upo fiti yaani na demu anaelewa show yaani wewe unatafuta la pili yeye la kwanza
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…