Punguzeni chai

Jaman hawa wapendwa we2 lizzy na ally wa kitaa wamezid stor baada ya kuchangia mada.2wafanyaje watu hawa!

Kwa hiyo in other words ndo umefungua hii ili story zipigwe hapa?? lol

Tunajadili nini vilee?? Maana Lizzy huyo kishafika.... na twataka kuchangia...
 
Kwa hiyo in other words ndo umefungua hii ili story zipigwe hapa?? lol

Tunajadili nini vilee?? Maana Lizzy huyo kishafika.... na twataka kuchangia...
hapa si ndo kitaaa!!
story tu!
kula unaenda kula kwenu!!
 
Back
Top Bottom