Punda na petrol...

Punda na petrol...

Mkare

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2010
Posts
504
Reaction score
79
Kama ilishatumwa before, mtanisamehe...Mimi kila nikiisoma mbavu sina na ninapata picha kama muvi...lol

Jamaa alikuwa anaendesha punda, siku 1 akamuuliza rafiki yake kwa nini gari zinaenda mbio? Rafiki yake akamjibu zinatumia mafuta. Siku ya 2 akaenda sheli na punda wake, alipofika akamnyanyua mkia akasema atiwe lita 5. Punda petrol ikamuwasha akatoka mbio za ajabu. Jamaa akamfukuza akarudi. Akavua suruali akainama akamwambia muuza mafuta amtie lita 10....
Unajua nini kilitokea? Ni PM nikupe part two...!
 
Hata kama ni uwongo-Aisee nimecheka sana kupita kawaida, tafadhali usisubili mtu aku PM mwaga jibu la hizo lita kumi ilitokea nini.
 
lazima alizimia hapo hapo haiwezekani 10ltr zingie tumboni thru rectum mmh..!
 
Part two... Ha ha ha... am kidding... Inatakiwa ui-imagine itakuaje. Matwi kashapata part two yake...lol. So whatever utakavyoimagine ndo hiyo...:dance:
 
alichakachuliwa huyo yakhee, wa inama mbele ya mtu wa mombasa.
 
hii kwa kweli nimecheka.happa naeza onekana mwehu manake nacheka peeangu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom