pumbu kupotea

Tupa Tupa

Senior Member
Jun 2, 2019
140
107
Habari wakuu,

Nawashirikisha tatizo langu, nawaomba ushauri wenu nimejigundua makende yangu yanapotea nikikagua kama moja inajisaga saga na nyingine inazidi kuwa ndogo lakini sina maumivu yoyote, na kila baada siku zinavyokwenda naona mambo yanazidi kwenda ndivyo sivyo

Ushauri wenu tafadhali nifanye nini na huu ugonjwa unaitwaje na nitafute dawa gani ?

Asanteni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom