PUGU: Maiti ya Mary Mkwaya Maramo, aliyekuwa afisa wa Wizara ya Nishati yafukuliwa na kuvuliwa nguo, yadaiwa kuingiliwa kimwili

Hii tabia ya kusakafia nakaburi sio nzuri inarahisisha kaburi kufukuliwa tofauti na kufukia maiti maana watakuwa na kazi ya kuondoa kifusi
Ndugu suala la mazishi li la mila desturi na la kidini. Hata kaburi la Yesu lilikuwa mfano wa kujengewa hivyo kama mtu mbaya amedhamiria hata hufukie kwa tope atafukua tuu
 
Nashauri aliyetoa azimio la maziko hayo ahojiwe!
hii ndio shida ya kucopy tamaduni za watu katika shughuli zetu, ni nani aliewambia kua kaburi hua linajengwa kama chamber ya choo!? hapo ilibidi mtu afukiwe kifusi kuanzia chini ili iwe ngumu kwa wahalifu kama hao kufukua maiti
 
Mambo ni mengi muda ni mchache,watu wanajaribu kupambana na muda matokeo yake ni viroja vinajitokeza katika jamij zetu...
 
Kiafya kuna umuhimu wa kuleta muongozo wa Uzikaji kitaifa.Niliwahi kwenda karatu wao huwa wanaweka jeneza halafu wanatupia Zege hadi nusu halafu wanaweka udongo juu....nadhani kwa style hiyo hakuna anayeweza kufukua ingawa ninawaza sana siku ya kupalizwa mbinguni kama itakuwa ni rahisi kufufuliwa kutoka kwenye kaburi la namba hii.
Hata mm nafikir kitu kimoja, some if the staff happen as worning

Mfano,haina hii ya kuzika, ambayo inaonekana mordern inaweza kuwa sio salama.
Lakin kama mamlaka husika, huwez sema direct kwa watu wakakuelewa.lakin ukitoa fundisho kwa vitendo watu watakuelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alafu ukute alianza kuoza aisee watu wana roho ngumu sana unaona watu wana drive ma VX V8 kumbe hela wanazipata kwa magumashi kama haya sijui iyo hela utam wake uko wapi
Kama walifanya usiku wa kuamkia leo mtu anakua bado hajaanza kuoza wala kunuka maana bado wamoto moto joto halijatanda kivile..
 
Suala si kusakafia au kuzika moja kwa moja, mhalifu hata ubuni mbinu gani atatafuta namna ya kutekeleza uhalifu wake.
Sijakataa mkuu ila ujue kaburi la kujengea ni rahisi zaidi kifanya uhalifu
Unavunja tu zege/tofali unakutana na jeneza km lipo kitandani tu
 
Back
Top Bottom