Hawa jamaa naona siku hizi wanachungulia kama guest hii ni kutokana na baadhi yetu kuwapiga nyundo mno za usoni.
I am still convinced that their presence is to our gain kuliko otherwise!! maana bado wa access na jukwaa lakini hatupati feedback zao
I am hopeful they will get back to work with us
Ni kweli maana kuna baadhi ya watu humu si wastaarabu kabisa matusi kwao ni salamu badala ya kuchangia hoja wanaanza kum attack mtu binafsi, lakini bado namuona Kitila anachangia pamoja na madongo wanayomtupiaHawa jamaa naona siku hizi wanachungulia kama guest hii ni kutokana na baadhi yetu kuwapiga nyundo mno za usoni.
kwa siasa za nchi maskini, kuchafuana ni ada!!Ni kweli maana kuna baadhi ya watu humu si wastaarabu kabisa matusi kwao ni salamu badala ya kuchangia hoja wanaanza kum attack mtu binafsi, lakini bado namuona Kitila anachangia pamoja na madongo wanayomtupia
kwa siasa za nchi maskini, kuchafuana ni ada!!
Bahati mbaya kuchafuana via JF hakutavumiliwa; ni kwakuwa tuko in middle of something, tunashindwa ku-deal na wachafuzi wenye dhamira ya kuudhi watu badala ya kujadili hoja; once we're done (April 2, 2010) tutakuwa wachungu sana kwa wachafuzi wote, hatutamwangalia mtu usoni.kwa siasa za nchi maskini, kuchafuana ni ada!!
nakubaliana na wewe kabisa... na kibaya zaidi ni matusi yanatoka kwa wale wasiotumia majina halisi... siku ikatokea majina yetu yakajulikana sijui itakuaje... I hope kutakuwa na namna ya moderation kuzuiza personal attaksKwa matusi ya hapa JF siku hizi, wale wanaojulikana kwa majina yao wanakuwa target ya baadhi ya watu bila sababu za msingi.
Zamani ilikuwa mjadala unaweza kuchukua hata wiki na kusiwe na matusi lakini siku hizi kumekuja wajanja wanaona matusi na personal attacks ndio agenda kubwa.
lazima tutegemee watu wengi watapotea na wale ambao ni wapenzi wa JF basi wanaishia kusoma kama guests na hata wakitaka kuchangia mada wanajiuliza mara mbili mbili.
Bahati mbaya kuchafuana via JF hakutavumiliwa; ni kwakuwa tuko in middle of something, tunashindwa ku-deal na wachafuzi wenye dhamira ya kuudhi watu badala ya kujadili hoja; once we're done (April 2, 2010) tutakuwa wachungu sana kwa wachafuzi wote, hatutamwangalia mtu usoni.
Meanwhile, ni vema watanzania hasa wana JF tukawa na staha wakati wa kuwasilisha hoja, hakuna kitu kinakera kama kuja na allegations dhidi ya mwanachama bila kufanya utafiti wenye kuwa na uhakika pasi na waa lolote.
Madai dhidi ya wanachama wenzetu na watanzania wenzetu zikiambatana na uthibitisho wa allegations zinasimama zenyewe na kumwongezea heshima mwenye kuzileta, lugha za kejeli, name calling n.k haviruhusiwi na havitavumiliwa kamwe ndani ya JF.
USHAURI: Ukiona ambapo kuna mwanachama amefanya kitu na hujaridhishwa nacho (matusi, kejeli, uchafu wa aina yoyote n.k) tafadhali usihangaike kujibizana nae au usihangaike kuandika alipoandika; bonyeza sehemu unayoona ina alama hii:
Kisha sisi tutachukua hatua haraka sana, aidha unaweza kutufahamisha via support@jamiiforums.com nasi tukarekebisha haraka.
Reporting ya kosa lolote ndani ya JF inakuongezea credits kwenye profile yako!
Mkuu Invisible,Bahati mbaya kuchafuana via JF hakutavumiliwa; ni kwakuwa tuko in middle of something, tunashindwa ku-deal na wachafuzi wenye dhamira ya kuudhi watu badala ya kujadili hoja; once we're done (April 2, 2010) tutakuwa wachungu sana kwa wachafuzi wote, hatutamwangalia mtu usoni.
Meanwhile, ni vema watanzania hasa wana JF tukawa na staha wakati wa kuwasilisha hoja, hakuna kitu kinakera kama kuja na allegations dhidi ya mwanachama bila kufanya utafiti wenye kuwa na uhakika pasi na waa lolote.
Madai dhidi ya wanachama wenzetu na watanzania wenzetu zikiambatana na uthibitisho wa allegations zinasimama zenyewe na kumwongezea heshima mwenye kuzileta, lugha za kejeli, name calling n.k haviruhusiwi na havitavumiliwa kamwe ndani ya JF.
USHAURI: Ukiona ambapo kuna mwanachama amefanya kitu na hujaridhishwa nacho (matusi, kejeli, uchafu wa aina yoyote n.k) tafadhali usihangaike kujibizana nae au usihangaike kuandika alipoandika; bonyeza sehemu unayoona ina alama hii:
Kisha sisi tutachukua hatua haraka sana, aidha unaweza kutufahamisha via support@jamiiforums.com nasi tukarekebisha haraka.
Reporting ya kosa lolote ndani ya JF inakuongezea credits kwenye profile yako!
Bahati mbaya kuchafuana via JF hakutavumiliwa; ni kwakuwa tuko in middle of something, tunashindwa ku-deal na wachafuzi wenye dhamira ya kuudhi watu badala ya kujadili hoja; once we're done (April 2, 2010) tutakuwa wachungu sana kwa wachafuzi wote, hatutamwangalia mtu usoni.
Meanwhile, ni vema watanzania hasa wana JF tukawa na staha wakati wa kuwasilisha hoja, hakuna kitu kinakera kama kuja na allegations dhidi ya mwanachama bila kufanya utafiti wenye kuwa na uhakika pasi na waa lolote.
Madai dhidi ya wanachama wenzetu na watanzania wenzetu zikiambatana na uthibitisho wa allegations zinasimama zenyewe na kumwongezea heshima mwenye kuzileta, lugha za kejeli, name calling n.k haviruhusiwi na havitavumiliwa kamwe ndani ya JF.
USHAURI: Ukiona ambapo kuna mwanachama amefanya kitu na hujaridhishwa nacho (matusi, kejeli, uchafu wa aina yoyote n.k) tafadhali usihangaike kujibizana nae au usihangaike kuandika alipoandika; bonyeza sehemu unayoona ina alama hii:
Kisha sisi tutachukua hatua haraka sana, aidha unaweza kutufahamisha via support@jamiiforums.com nasi tukarekebisha haraka.
Reporting ya kosa lolote ndani ya JF inakuongezea credits kwenye profile yako!
Mfano wa allegations ni kama mlizozielekeza kwangu kwamba nabadili majina. Pia mnatakiwa muwe makini nasio kubunibuni tu.
Nasema hivi kama nilishawahi kubadili kujisajiri hapa jf zaidi ya ID moja hii niliyonayo basi Mungu anipe adhabu kali sana.
Nawaombeni ninyi wadau wa jf muwe mnafanya utafiti wa kina kwanza, na si kufanya mambo kwa hisia .teh teh teh
Sawa kabisa Invisible nashukuru kama umeliona hili kuna mtindo mwingine umeanza kutokea wa kuharibu flow ya thread, thread inaweza kuanza vizuri katikati watajitokeza members wawili au watatu wamejipanga makusudi kupoteza maana ya hoja husika wataanza kujibizana wenyewe kwa wenyewe off topic kwa siku nzima wakijadili mambo yao tofauti kabisa na mada husika ukijitahidi kurudisha mada utaishia kushambuliwa kwa matusiBahati mbaya kuchafuana via JF hakutavumiliwa; ni kwakuwa tuko in middle of something, tunashindwa ku-deal na wachafuzi wenye dhamira ya kuudhi watu badala ya kujadili hoja; once we're done (April 2, 2010) tutakuwa wachungu sana kwa wachafuzi wote, hatutamwangalia mtu usoni.
Meanwhile, ni vema watanzania hasa wana JF tukawa na staha wakati wa kuwasilisha hoja, hakuna kitu kinakera kama kuja na allegations dhidi ya mwanachama bila kufanya utafiti wenye kuwa na uhakika pasi na waa lolote.
Madai dhidi ya wanachama wenzetu na watanzania wenzetu zikiambatana na uthibitisho wa allegations zinasimama zenyewe na kumwongezea heshima mwenye kuzileta, lugha za kejeli, name calling n.k haviruhusiwi na havitavumiliwa kamwe ndani ya JF.
USHAURI: Ukiona ambapo kuna mwanachama amefanya kitu na hujaridhishwa nacho (matusi, kejeli, uchafu wa aina yoyote n.k) tafadhali usihangaike kujibizana nae au usihangaike kuandika alipoandika; bonyeza sehemu unayoona ina alama hii:
Kisha sisi tutachukua hatua haraka sana, aidha unaweza kutufahamisha via support@jamiiforums.com nasi tukarekebisha haraka.
Reporting ya kosa lolote ndani ya JF inakuongezea credits kwenye profile yako!
Sioni ubaya wowote kama unabadili majina.
Cha muhimu hapa ni mchango wako tu, uwe mchango wenye kujenga na sio kubomoa, usiwe mchango wa chuki wala kejeli, usiwe mchango wa ubabe na masimango.
Hata ukitumia majina ishirini, kama hauathiri nia na malengo ya JF bali unapigania ujenzi wa Tanzania huru, yenye demokrasia ya kweli, isiyo na ufisadi na yenye wananchi wenye maisha bora, sio tatizo.
Ni mtazamo tu, samahani kama nimekukwaza.
Ni kweli
Lakini tatizo langu kwa ma invisible ama ma moderator ni kwamba wameshanitumia pm wakinionya kutumia ID nyingi, wakati mie tangu niingie humu jf sijawahi poteza mda kujisajiri ID zaidi ya moja. Binafsi naona kuna kubabaisha babaisha.
Kama kweli wanataka JF iwe huru na haki kwa watu wanaotukana kwa kutumia ID tofauti na washauri waongeze kitu hii ktk PHP script yao.
Waongeze sript ndogo tu ambayo mtu aki login ionyeshe yupo nchi gani na public IP address yake. Uone watu wanavyoumbuka mambo ya kubashiribashiri tuwaachie akina Yahya.