Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,559
- 11,496
Ngoja na King'asti aje ili muungane vizuri! Mi nampongeza kipa wenu aisee....japo Torres katumia kaakili kazuri sana kuchomoka na mpira! Anyways.....hongereni bana!!
Hahahahahaaa ila hata asingefunga tulishapita na goli la ugenini
Nimefurahi sana Kipipi
Kipipi, nlidhani unashabikia Twiga Stars pekee
Hahahahaa kwa kauli yake pale anaonekana si mshabiki wa timu yetu so inawezekana ni Twiga Stars
Hivi kumbe Kipipi uko juu hvyo??hahahah.....sometimes vya nje vinanoga saana! Ukimuona kitu Messi, pembeni Iniesta na Fabregas.......unakuja kwa mzee Puyol na minywele yake aah raaaha! Bado hujamuona Lampard anataka kuanzisha kaugomvi wakati huo kina Erick bado wanajilaumu John Terry kulamba kikaragosi chekundu! Lol....acha kabisa mdau!
Vijiwe ofcn kwani mna jiko la kuchomea nyama?Nina furaha sana kwa kushinda kwa Chelsea...
Sasa we Erickb52 unataka vijiwe viwe wapi kama sio kwenye maofisi yetu?!
Kazi na dawa mkuu!
Gee Cee