Teh dah hapa ni bata mwanzo mwisho hadi mei mosiMimi sio mshabiki wa chelsea kwa kawaida ila tangu nijue wanapambana na Barca.....baas niliwataka washinde...tangu asubuhi ...ni kula biya tu...thanks Erick kwa kutupa holiday...:A S 41:
hahahahahaha...jana nili bett chelsea anapita jamaa wakaniona chizi...baada ya game...nikala mkwanja wangu...leo bata huku nasubiri real apite niendelee kula hela ya betting
kwa kweli mnastahiki pongezi, hongereni sn.
Mtuombee na sisi, Man U
Ooooopppppsssssss......Hahahahahahaaaa
Angel man City lazma wawatandike na kombe mnalikosa lol
Siwaombei coz siwapendi hata kidogo
Samahani Angel Nylon kwa hilo...ila wewe nakupenda sana tu
Hivi kumbe Kipipi uko juu hvyo??
Ni mara chache the dadaz kujua mambo ya soccer..hongera sana na karibu chelsea
Ooooopppppsssssss......
We ndo ushaua, huipendi man u ndo hunipendi na mie.
Man U ikifungwa mi naumwa kabisaaaa.
HaahahahahahaaaMie kwenye soccer nimo kwa sana tu na nadhani imeoccupy nafasi ya movie, sema siku hizi nashindwa kufuatilia vizuri kwa sababu ya kukosa muda! Hahahah asante Erick japo Chelsea ........mmh naomba nikuachie mwenyewe! Lol
Hahahahahaaaa naona utakuwa kwenye kiota cha ukweli Brajec Grill Lol mtu chake unatisha aisee inabidi nije Dar walau tujumuike siku moja mitaa hiyo
Lol, mie leo Real M. Hakuna kulala na hivo kesho holiday nafkiri tukiamka sauti zimekauka kwa kupiga makelele.Hahahahahahaaaa katika timu nisizozipenda duniani ni Man U na nimkutokana na mashabiki wake kuwa na kelele sana wanaposhinda....
Lol
Man U ni man U na Angel Ni Angle.....we sitoacha kukupa love hata kama ni Man u pure...
Hahahahahaaa hamia Chelsea