Psychoanalysis: Superiority Complex ni Dalili ya Inferiority Complex!. Maneno Mafupi Vitendo Virefu.

Wanabodi,
Leo naomba niwaendeshee semina fupi ya somo linaloitwa psychoanalysis. Hili ni somo la kuisoma mienendo ya binadamu ikihusisha tafsiri za kisaikolojia za maneno na matendo yanavyohusianishwa na tabia zilizojificha kwenye subconscious mind na kubainisha vitu vinavyoitwa "deep rooted neurosis".

Mfano mtu anaye practice overconfidence, ana tatizo la lack of confidence. Mtu anaye practice superiority complex, ana tatizo la inferiority complex bila kujijua. Na ukiona mtu anaongea sana kwa ukali na vitisho ujue hana lolote katika utekelezaji, ni talker tuu na sio mtekelezaji. Ni maneno marefu lakini vitendo vifupi, lakini the doers wanaonyesha vitendo
Kwa hiyo unasema -Mtu akisema mimi ni rais ina maana kuwa ........
 
Kwa sababu hizi hizi ndo maana C.C.M hawakupi tonge! Unabadilika badilika sana! Leo umelala C.C.M ,kesho umelala upinzani! Kiujumla hueleweki ndo maana tonge litaendelea kukupita pembeni.
 
Wanabodi,
Leo naomba niwaendeshee semina fupi ya somo linaloitwa psychoanalysis. Hili ni somo la kuisoma mienendo ya binadamu ikihusisha tafsiri za kisaikolojia za maneno na matendo yanavyohusianishwa na tabia zilizojificha kwenye subconscious mind na kubainisha vitu vinavyoitwa "deep rooted neurosis".

Mfano mtu anaye practice overconfidence, ana tatizo la lack of confidence. Mtu anaye practice superiority complex, ana tatizo la inferiority complex bila kujijua. Na ukiona mtu anaongea sana kwa ukali na vitisho ujue hana lolote katika utekelezaji, ni talker tuu na sio mtekelezaji. Ni maneno marefu lakini vitendo vifupi, lakini the doers wanaonyesha vitendo
Haa Pia Umenikumbusha Kwenye Entrepreneurship Tulijifunza tabia za watu wenye Confidence mimi nilidhani ni mmoja wapo Mwalimu wetu alitupeleka kwenye Restaurant tukaagiziwa chakula cha ajabu mimi nilianza kuonja chumvi kwenye mboga niliambiwa 'You do not have Confidence' Kumbe wenye confidence hawaonji chumvi wanaongeza chumvi na huwa nawauliza kwanini huonji chumvi unaweka tu huwa wana sema najua kwamba huwa wanaweka kidogo Watu wanao pima upepo Hawana Confidence ya Kuongoza
 
Behaviorists would argue that way not in psychoanalysis; kwamba ukali as defence mechanism unatokana na mtu kujifunza kutokana na mazingira yake ya kila siku (in most cases during early years) asipokuwa aggressive anawezakuwa undermined, asieheshimiwe etc kutokana na environment interaction.

On the other hand in psychodynamic (where psychoanalysis as a theory derives from) would argue aggression is a result of under developed 'ego' katika malezi yake ya awali mtu mwenye hasira akufundishwa vizuri ya kuwa uwezi kupata kila kitu kusudi 'super ego' the personality which we use as adults ielewe ya kuwa in life their compromises.
 
Naona tusio na mrengo wowote tunabaki njia panda. Hatujui aliepost alikua na "intention" ya mrengo ama La! Na huku upande mwingine watu wana-attack. Sasa tusije tukachangia tukaonekana tuna mrengo flani kumbe sio, sisi ni watu tunaoegemea upande wa LOGIC na Psychology ni msingi wetu.

In the Memory of late Sigmund Freud
 
In theory both of what you mentioned in your comment could be correct, on the other hand it implies the subject in discussion “inferior complex ” pertained and shown by the macho character, therefore showing of strength to the deceived eyes but only undermine the serious issues of the character in question.

Kufoka foka surely is part of deception inaficha udhaifu mkubwa, and this can be clearly exemplified by the behaviour of the character.

Bullying of the weakest in society to satisfy the egocentric nature of the character, makodi ya ajabu to the citizens, vunja vunja, fukuza fukuza kazini, funga funga ya ovyo ovyo, utekaji and so on,

But bare in mind when the rich and famous out of the bullying circle come to your backyard, your not short of praise and omba omba isiyo na kipimo and so forth.

The same can be said to the army, the weak leader will always be afraid,will try utmost to be cozy with them.

By the way, these tendency and behaviour of a men lack empathy to his own family, and it won’t surprise me a bit!

Behaviorists would argue that way not in psychoanalysis; kwamba ukali as defence mechanism unatokana na mtu kujifunza kutokana na mazingira yake ya kila siku (in most cases during early years) asipokuwa aggressive anawezakuwa undermined, asieheshimiwe etc kutokana na environment interaction.

On the other hand in psychodynamic (where psychoanalysis as a theory derives from) would argue aggression is a result of under developed 'ego' katika malezi yake ya awali mtu mwenye hasira akufundishwa vizuri ya kuwa uwezi kupata kila kitu kusudi 'super ego' the personality which we use as adults ielewe ya kuwa in life their compromises.
 
In theory both of what you mentioned in your comment could be correct, on the other hand it implies the subject in discussion “inferior complex ” pertained and shown by the macho character, therefore showing of strength to the deceived eyes but only undermine the serious issues of the character in question.

Kufoka foka surely is part of deception inaficha udhaifu mkubwa, and this can be clearly exemplified by the behaviour of the character.

Bullying of the weakest in society to satisfy the egocentric nature of the character, makodi ya ajabu to the citizens, vunja vunja, fukuza fukuza kazini, funga funga ya ovyo ovyo, utekaji and so on,

But bare in mind when the rich and famous out of the bullying circle come to your backyard, your not short of praise and omba omba isiyo na kipimo and so forth.

The same can be said to the army, the weak leader will always be afraid,will try utmost to be cozy with them.

By the way, these tendency and behaviour of a men lack empathy to his own family, and it won’t surprise me a bit!
Well if he had put it that way I wouldn't have bothered those are the observable behaviours of the person to all and yes somewhat abnormal indicating psychological issues.

But if you gonna put the argument through a psychology theory at least one needs to make the effort in understanding the fundamental surely you cant pass a behaviourism explanation as a psychoanalysis.
 
unafiki huu, anarudi wapi? alikuwa wapi?

watanzania mmekuwa kama vinyani au vinyago fulani hivi

'mtu akisema kinyume na wewe ni adui au yuko upande ule' akisema sawa na wewe sio adui

una inferioty complex

hao uliowataja wote akiwemo mimi, tunasema tunachojisikia kusema na kunyoosha hisia zetu bila kujali upande wa pili wnataka nini

Leo unasema karudi, kesho akija na hoja yake nyingine utasema anatafuta ukuu wa wilaya

hamjawahi kujadili maada bali kuangalia yuko upande upi

hata hapa ni mfano mzuri haujaangalia hoja, umekimbilia kusema uliyosema! aibu!

halafu ndio wasomi nyie, ndio mameneja huko kwenye mabenki, ndio unaitwa baba au mama nyumbani, ni figure ambaye unatakiwa ku inspire others! ila ki ukweli hauna kitu kichwani

mmeondoa kabisa dhana ya debate na kujadili maada kwa akili timamu!!

Sina hakika umeelewa nilichomaanisha. Na pengine umenijibu kutokana na hisia zako ingawa siwezi kuzikubali au kuzikana kwani ni sehemu ya maumbile ya asili ya mwanadamu. Kupenda'..nyuma yake kuna tafsiri yake na visabsbishi mbalimbali!

Labda nikuambie kitu:
Kama kijana mdogo mwanafunzi, asiyejua siasa mwenye shauku ya kuona kundi la watu lililojazana mbele ya kioo cha Luninga, waliojawa na shauku kuona nini kitatokea nilijipenyeza katikati na hatimae nikaketi mbele chini.
Mbele yake kwenye screen ya TV hakuwa mwengine bali mkuu Pascal Mayalla ameshika kipaza sauti. Kwenye kiti amekaa kiongozi mmoja mkubwa wa serikali na pembeni kulikuwa ma hadhira. Amini nakwambia licha ya umri mdogo kipindi hiko niliona jinsi alivyo jasiri, mwenye kujenga hoja zenye urazini( ubora wa juu wenye maarifa na uthibitisho). Na hio ndio taswira ninayoishi nayo ya mkuu Pascal Mayalla.
Taswira ambayo iligoma kutoka na kuamini kwamba anaweza kuwa amekubali kuwa flexible na kufuata upepo kulingana na hitaji la kisiasa la serikali yetu ya sasa:kupambwa na kuimbiwa nyimbo za kuisifu hata pale jahazi linaenda mlama. Sifa ambazo waimbaji wetu hupewa tunu na tuzo!

Wengi wamejitoa ufahamu utu na heshima yao kuwania hiyo tuzo.
 
Well if he had put it that way I wouldn't have bothered those are the observable behaviours of the president to all and yes abnormal indicating psychological issues.

But if you gonna put the argument through a psychology theory at least one needs to make the effort in understanding the fundamental surely you cant pass a behaviourism explanation as a psychoanalysis.

Never mentioned name please[emoji23] surely I didn’t !, unless you meant trump, I would totally agree with you, there are quite few talking about dementia, a tale tale sign of his behaviours recently, waswahili wanakwambia uzee, ukaidi mwingi, never being wrong, a tender box of ready to blow fuse...

Trump wacha hayo, seek help!
 
Nimefurahi sana kwa pascal to speak his mind!!haya ndo mawazo yako.siku zingine huwa unajitoa akili.kwa maneno yako yote nakuunga mkono.hasa kwa mtu kuongea kwa ukali kuficha udaifu wako.
 
Wanabodi,
Leo naomba niwaendeshee semina fupi ya somo linaloitwa psychoanalysis. Hili ni somo la kuisoma mienendo ya binadamu ikihusisha tafsiri za kisaikolojia za maneno na matendo yanavyohusianishwa na tabia zilizojificha kwenye subconscious mind na kubainisha vitu vinavyoitwa "deep rooted neurosis".

Mfano mtu anaye practice overconfidence, ana tatizo la lack of confidence. Mtu anaye practice superiority complex, ana tatizo la inferiority complex bila kujijua. Na ukiona mtu anaongea sana kwa ukali na vitisho ujue hana lolote katika utekelezaji, ni talker tuu na sio mtekelezaji. Ni maneno marefu lakini vitendo vifupi, lakini the doers wanaonyesha vitendo
Hizo sifa zote anazo kaka yako [emoji482] [emoji357] [emoji357] [emoji357] hizo za over ,labda usiendelee kufafanua zaidi maana utakuta umemsema yeye
 
Sasa hivi Marekani kuna mjadala kuhusu afya ya akili ya Trump.
Superiority Complex wakati mwingine ni muhimu kuwa applied/directed Kwa watu ambao hawawezi kujisimamia,watu ambao wanahitaji superior figure to lookup to.Mfano ktk awamu iliyopita,baadhi ya watu ni kama walikuwa wanatafuta a superior figure to dominate them ili angalau wahisi kuna kiongozi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom