nzaghamba
JF-Expert Member
- Apr 26, 2017
- 1,077
- 1,139
kivumbasiWakuu poleni na majukumu, naomba kuuliza kama kuna mtu anaufahamu huu mmea. Kuna Boss wangu (Indian old man) amekuwa akitumia kila asubuh kwa kuweka kwenye maji yake ya kunywa.
Kama kuna ambaye yupo familiar na huu mmea ningeomba kujua yafuatayo...
1. Unaitwaje?
2. Unasaidia nini/faida zake ukiutumia?
3. Madhara yake?
Naomba kuwasilisha. Ahsante View attachment 2332929