Kitu pekee ambacho vijana wetu wanapotea ni kufanya mambo out of knowing what , how and when.
Kwa mfano, Mtu anaenda kuvuta Bangi ambayo hajui the composition ya hiyo bangi anayovuta.
Mfano unaenda Kutoa jino Hospitali. Daktar anakuandikia Amoxicillin 250mg kwa dose ya 2 tabs tds. Literally means anakusudia upAte Amoxicillin ndani ya mwili wako kwa siku jumla ya milligrams 1500. Ambayo hii kwako ni therapeutic dose yaani ile dose inayoenda kutibu na si kidhuru au kuleta toxicity ndani ya mwili wako. Ama kwa Mtoto, atapewa nusu dose ya mtu mzima, na kama ni Mtoto below 5years, atapewa robo dose....
Kisha Dr Ataandika na metronidazole 200mg at the dose of 2 tabs tds, hapa amekusudia upate 1200mg kwa siku as therapeutic dose against microbials after tooth

extraction.
This means, akitaka kukuua, atakusudia kwa siku upate atleast 6000mg ya Amoxicillin per day. Kwa dose hii kwa siku ni lazima u float hata Kama hutokufa over time, utakua umefanya damage ya vital organs zako .
Kwa maelekezo hayo , hata Bangi , DMT , LSD has the same explanation.
Je Bangi unayovuta, unajua composition yake ? Tumeona hapo juu kidonge kimoja cha Amoxicillin kina milligrams 250 , je Bangi unayovuta ina THC milligrams ngapi ? ili kujua the benefit dose...
the composition of THC katika mmea inategemea na mahali Bangi ilipokulia, mazingira, sunlight iliyoingia, viambata sumu kwenye mazingira yake, mbolea iliyotumika ina kemikali nyingine za sumu all these stuff mwisho wa siku kwa kutumia Chromatography analytical method tunaweza kujua ndani ya Bangi unayovuta lile jani lake Lina THC mg ngapi ?
Kwakujua hivo , utashauriwa kutumia puffs kadhaa upate dose sahihi itayokuletea Transcendence effect bila ya madhara yoyote.
Sasa mtu anaenda kuvuta msokoto wote wa Bangi bila ya kujua composition ya THC ndani yake . Some Cannabis especially ya Arusha na Mara zina high concentration of THC , which makes it dangerous to smoke without knowledge. Wale machalii ya Arusha akikuambia nipe hela, hujamaliza kutoa hela , tayari ameshakuchomeka bisibisi. Akili zao zimeshaharibika na ni kwa sababu wanavuta mmea wenye conc nyingi ya THC.
Nikisema Uyoga una Psylocibin, ninatakiwa kujua composition yake kwanza kama nilivojua kwa Amoxicillin.
Hii ni taalaum you guys mtanahitaji kujua kabla ya kutumia hii Kitu.
THC ni ile stuff that makes you high and laughing too much,lol