PSSSF kuanza rasmi Agosti mosi 2018

PSSSF kuanza rasmi Agosti mosi 2018

Prospizo

Member
Joined
Feb 6, 2014
Posts
25
Reaction score
28
Yaliyojri Wakati wa Mkutano wa Waziri Jenista Mhagama na Waandishi wa Habari Kuhusu Kutangaza Tarehe ya Kuanza Kutumika kwa Sheria ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma Na. 2 ya Mwaka 2018

======

Tarehe 31 Januari, 2018 Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lilipitisha Sheria ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF).

Sheria hiyo pamoja na mambo mengine inaunganisha Mifuko ya Pensheni minne ambayo ni Mifuko ya PSPF, LAPF, PPF na GEPF na kuunda Mfuko mmoja kwa ajili ya Watumishi wa Umma unaojulikana kama Mfuko wa Hifadhi kwa Watumishi wa Umma.

Mara baada ya kupitishwa na Bunge tarehe 8 Februari, 2018 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli alitia saini Sheria hiyo na hivyo kuifanya kuwa sehemu ya Sheria za nchi.

Baada ya kukamilika kwa hatua hizo muhimu, hatua inayokuwa inasubiriwa ni kutangazwa kwa tarehe rasmi ya kuanza kutumika kwa Sheria ya PSSSF.

Kwa mujibu wa Sheria, Waziri mwenye dhamana ya Hifadhi ya Jamii ndiye mwenye mamlaka ya kutangaza tarehe baada ya kuridhika kuwa maandalizi yote ya msingi yanayohusu utekelezaji wa Sheria hiyo yamekamilika.

Napenda kuchukua fursa hii kuwajulisha kuwa Serikali imekamikisha maandalizi yote muhimu ya utekelezaji wa Sheria ya PSSSF na imeridhika kwamba Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma( PSSSF) unaweza kuanza kutekeleza majukumu yake.

Napenda kutangaza rasmi kwamba, kwa mamlaka niliyonayo chini ya kifungu cha 1(1) cha Sheria ya PSSSF nimeteua tarehe 1 Agosti, 2018 kuwa ndiyo tarehe rasmi ya kuanza kutumika kwa Sheria ya PSSSF.

Hatua hii inamaana kwamba Mfuko wa PSSSF utaanza rasmi kutekeleza majukumu yake tarehe 1 Agosti, 2018, hivyo kuanzia tarehe hiyo wafanyakazi wote watakaoajiriwa katika sekta ya umma watasajiliwa katika Mfuko wa PSSSF na wale watakaoajiriwa katika sekta binafsi watasajiliwa katika Mfuko wa NSSF.

Wanachama wote ikiwa ni pamoja na wastaafu na warithi waliopo katika mifuko inayounganishwa watahamishiwa katika mfuko wa PSSSF na haki na stahili zao zitaendelea kutolewa na Mfuko huo bila kuathiriwa kwa namna yeyote ile.

Vivyo hivyo, rasilimali, vitega uchumi, madeni, mifuko ya hiari na mikataba iliyokuwa chini ya mifuko inayounganishwa itahamishiwa katika Mfuko mpya wa PSSSF.

Watumishi wote wa mifuko inayounganishwa watahamishiwa katika mfuko mpya ambako uongozi wa Mfuko huo utawapangia majukumu yao kwa kuzingatia muundo wa Mfuko huu.

Kabla ya kufikia hatua ya kutangaza tarehe ya
kuanza kutumika kwa Sheria ya PSSSF, Serikali ilipaswa kuhakikisha kwamba imekamilisha maandalizi yote muhimu ya utekelezaji ili kuhakikisha kwamba huduma kwa wanachama haziathiri kwa namna yeyote ile.

Serikali kwa kupitia Mamlaka ya Usimamizi ya Mifuko imeandaa mkakati maalumu wa kutoa elimu kwa umma kuhusu Sheria na Kanuni za PSSSF ili kuhakikisha kwamba wanachama na wadau wote wa Sekta wanakuwa na uelewa sahihi wa Sheria hizi na mabadiliko yaliyofanyika.

*Imeandaliwa na Idara ya Habari- MAELEZO*
 
Attachments

Last edited:
Sijui wamejipangaje lakini kama awali mifuko hiyo ilikuwa na kero ya ucheleweshaji na urasimu ni miuujiza gani itakayoyotumika kuund kuendesha mfukuu huo? Tuvute subira maana changamoto hazita kosekana.
 
Nna swali Chief,kwa sasa Mimi nakatwa asilimia 10(10%) ya mshahara wangu wakati watumish wenzangu walioko mifuko mingne nadhani ni around 5%...sa tunapoenda kua kwenye mfuko mmoja makato yataendelea kua yaleyale au yatabadlka?
Nadhani lengo mojawapo ya kuunganisha hii mifuko ilikuwa kuondoa hiyo ishu ya tofauti ya makato. Hivyo makato kwa wote yatakuwa sawa, ndio bado haijulikani itakuwa 10% au 5%. Tusubiri
 
Yaliyojri Wakati wa Mkutano wa Waziri Jenista Mhagama na Waandishi wa Habari Kuhusu Kutangaza Tarehe ya Kuanza Kutumika kwa Sheria ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma Na. 2 ya Mwaka 2018

#Tarehe 31 Januari, 2018 Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lilipitisha Sheria ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF).

#Sheria hiyo pamoja na mambo mengine inaunganisha Mifuko ya Pensheni minne ambayo ni Mifuko ya PSPF, LAPF, PPF na GEPF na kuunda Mfuko mmoja kwa ajili ya Watumishi wa Umma unaojulikana kama Mfuko wa Hifadhi kwa Watumishi wa Umma.

#Mara baada ya kupitishwa na Bunge tarehe 8 Februari, 2018 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli alitia saini Sheria hiyo na hivyo kuifanya kuwa sehemu ya Sheria za nchi.

#Baada ya kukamilika kwa hatua hizo muhimu, hatua inayokuwa inasubiriwa ni kutangazwa kwa tarehe rasmi ya kuanza kutumika kwa Sheria ya PSSSF.

#Kwa mujibu wa Sheria, Waziri mwenye dhamana ya Hifadhi ya Jamii ndiye mwenye mamlaka ya kutangaza tarehe baada ya kuridhika kuwa maandalizi yote ya msingi yanayohusu utekelezaji wa Sheria hiyo yamekamilika.

#Napenda kuchukua fursa hii kuwajulisha kuwa Serikali imekamikisha maandalizi yote muhimu ya utekelezaji wa Sheria ya PSSSF na imeridhika kwamba Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma( PSSSF) unaweza kuanza kutekeleza majukumu yake.

#Napenda kutangaza rasmi kwamba, kwa mamlaka niliyonayo chini ya kifungu cha 1(1) cha Sheria ya PSSSF nimeteua tarehe 1 Agosti, 2018 kuwa ndiyo tarehe rasmi ya kuanza kutumika kwa Sheria ya PSSSF.

#Hatua hii inamaana kwamba Mfuko wa PSSSF utaanza rasmi kutekeleza majukumu yake tarehe 1 Agosti, 2018, hivyo kuanzia tarehe hiyo wafanyakazi wote watakaoajiriwa katika sekta ya umma watasajiliwa katika Mfuko wa PSSSF na wale watakaoajiriwa katika sekta binafsi watasajiliwa katika Mfuko wa NSSF.

#Wanachama wote ikiwa ni pamoja na wastaafu na warithi waliopo katika mifuko inayounganishwa watahamishiwa katika mfuko wa PSSSF na haki na stahili zao zitaendelea kutolewa na Mfuko huo bila kuathiriwa kwa namna yeyote ile.

#Vivyo hivyo, rasilimali, vitega uchumi, madeni, mifuko ya hiari na mikataba iliyokuwa chini ya mifuko inayounganishwa itahamishiwa katika Mfuko mpya wa PSSSF.

#Watumishi wote wa mifuko inayounganishwa watahamishiwa katika mfuko mpya ambako uongozi wa Mfuko huo utawapangia majukumu yao kwa kuzingatia muundo wa Mfuko huu.

#Kabla ya kufikia hatua ya kutangaza tarehe ya
kuanza kutumika kwa Sheria ya PSSSF, Serikali ilipaswa kuhakikisha kwamba imekamilisha maandalizi yote muhimu ya utekelezaji ili kuhakikisha kwamba huduma kwa wanachama haziathiri kwa namna yeyote ile.

#Serikali kwa kupitia Mamlaka ya Usimamizi ya Mifuko imeandaa mkakati maalumu wa kutoa elimu kwa umma kuhusu Sheria na Kanuni za PSSSF ili kuhakikisha kwamba wanachama na wadau wote wa Sekta wanakuwa na uelewa sahihi wa Sheria hizi na mabadiliko yaliyofanyika.

*Imeandaliwa na Idara ya Habari- MAELEZO*
Sasa na wafanyakazi wa Private Institutions wanaingia kwy mfuko wa NSSF
 
Information is power,until now we have not received our monthly pension ,now whare is the respect of the old guards and your seniors. We craving hungry ,Mr take care and rescue us from hunger HELP !
 
We are craving hungry ,Please Minister come to our rescue we are dying !
 
Je watumishi wataenda wapi/ofisi gani kufuatilia taarifa zao za mfuko mpya?

Ikumbukwe hawatoa taarifa zozote ya kipi kitegemewe au kitabadilika kufuatia haya mabadiliko lakini unaambiwa hakuna usumbufu wowote utakaojitokeza...
 
Hakuna kitu kama hicho muongozo ni kwamba kuanzia tarehe 1/8 watakao ajiriwa kwa taasisi za serekali ndo watakua lazima waende kwenye huo mfuko wa PSSSF na wafanyakazi binafsi watatakiwa kwenda NSSF.

jidanganye... nenda kasome muswada upya.. na sheria nzima
 
Hakuna kitu kama hicho muongozo ni kwamba kuanzia tarehe 1/8 watakao ajiriwa kwa taasisi za serekali ndo watakua lazima waende kwenye huo mfuko wa PSSSF na wafanyakazi binafsi watatakiwa kwenda NSSF.

Ina maana kuna wafanyakai wa umma waliopo NSSF watabaki hukohuko na wa binafsi waliokua kwenye mifuko iliyounganishwa wataenda PSSSF?
 
Ndio hayo maelezo ya serekali yanavyo jieleza. Ila kwakua huku makazini kunawatu wanapenda sifa wanaweza wakahamisha watu kilazima.
 
Back
Top Bottom