kamtesh
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 1,395
- 514
- Thread starter
- #21
Wastaafu wanaona mwezi unaisha huu, ahadi waliopewa na mkurugenzi mtendaji mkuu wa PSSSF, inaonekana kuyoyoma, hakuna kulipwa. Mafao bado kinakua kizungumkuti.
Hivi, mtu mkubwa kama Kama mkurugenzi mkuu anapotoa ahadi kwamba ndani ya miezi sita wote wanao dai mafao yao watakua wamelipwa na akashindwa, ni bora ajiuzuru. Raid hapendi watendaji kama hawa, waongo n wanao muangusha mheshimiwa rais.
Serekali hii ni ya kasi na standard, watu wasio timiza ahadi zao kwa wakati hawana nafasi kabisa, wanatuchelewesha. Hawana tija kwa awamu hii, na nimizigo wanao leta malalamiko yasio kua na lazima. Kashindwa kusimamia ufanisi wa shirika.
Sent using Jamii Forums mobile app