PSSSF inavyooneka hawana hela

PSSSF inavyooneka hawana hela

Wameshindwa kuwalipa wa staafu ka walivyo ahidi, kwamba ifikapo January mwisho, watakua wameshawalipa wote. Imeshindikana, subirini kauli tata nyingine. PSSSF, ni janga la taifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa wanasema wanasubiria muongozo wa Wizara tokana na kauli ya Rais, hizi blablabla is too much.
PSSSF, lipeni madeni ya wastaaf, inaonekana wanatumia hela vibaya za wanachama. Haiwezekani kulipa wastaafu na wengine iwe tatizo. Mbona wanapokea vizuri makato ya wafanyakazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom