PSSSF inavyooneka hawana hela

PSSSF inavyooneka hawana hela

kamtesh

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2014
Posts
1,395
Reaction score
514
Madai ya watu hayalipwi, mafaili yanarundikana tuu, ukiwapigia simu wanakurusha tuu tarehe.

Walidai kupitia mkurugenzi wao ifika January 2019, patakua hakina mstaafu atakaye kua analidai shirika la PSSSF. Leo ni tarehe 17, watu hawalipwi madai ya Mata yanarundikana, yaonekana hela Hanna zakuwalipa wastaafu. Ni bora wawaambie wastaafu na wengine wote wanao dai mafao yao ukweli na sio kuwazungusha kwa tarehe kila uchao. Baba yangu ameanza kudai tangu mwezi wa nane mwaka jana mpaka leo habari ni ile ile, tupp kwenye mpito tuvumiliane.

Ukiwauliza tuvumiliane mpaka link miezi inakatika, tuangalie" value for money aspect" hawana jibu.

Mbona hela munakusanya vizuri, na iweje kwenye malipo ya madai figisu figisu nyingi kwawastaafu? This is not fair. Kwa hili, ile ndoto ya kupata mafao yako wakati unakinywa chai can never be realised. Walipeni watu wakawekeze kwenye kilimo, muda ndo huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hali ndo hií mara kiķokotò mara kuchelewa kulipwa sasa kuna umuhimu gani wa kujiunga na mfuko wa jamiì. Bora umuiite mifuko ya serikali sio jamii
 
Siyo hao tu hata NSSF nao wako hoi mpaka wakusanye michango ya waliokazini ndiyo wawalipe wastaafu, waingereza wanaita hendi tu mauthi (hand to mouth) yaani unachopata unakula hauna akiba.
 
Mbona enzi za Dr.Dau mafao ilikuwa wiki 2 pesa inaingia kwenye akaunti yako?
Na huki serikali ilikua inadaiwa 8trilion na hiyo mifuko na miradi mikubwa ilikua inafanyika.Sasa mkuu anasema wamelipa eti imebaki 200bn lakini mifuko haina kitu waala hakuna mradi wa maana unaondelea katika hiyo mifuko.
Tutashuhudia hata NHC kufilisika tena
 
Madai ya watu hayalipwi, mafaili yanarundikana tuu, ukiwapigia simu wanakurusha tuu tarehe.

Walidai kupitia mkurugenzi wao ifika January 2019, patakua hakina mstaafu atakaye kua analidai shirika la PSSSF. Leo ni tarehe 17, watu hawalipwi madai ya Mata yanarundikana, yaonekana hela Hanna zakuwalipa wastaafu. Ni bora wawaambie wastaafu na wengine wote wanao dai mafao yao ukweli na sio kuwazungusha kwa tarehe kila uchao. Baba yangu ameanza kudai tangu mwezi wa nane mwaka jana mpaka leo habari ni ile ile, tupp kwenye mpito tuvumiliane.

Ukiwauliza tuvumiliane mpaka link miezi inakatika, tuangalie" value for money aspect" hawana jibu.

Mbona hela munakusanya vizuri, na iweje kwenye malipo ya madai figisu figisu nyingi kwawastaafu? This is not fair. Kwa hili, ile ndoto ya kupata mafao yako wakati unakinywa chai can never be realised. Walipeni watu wakawekeze kwenye kilimo, muda ndo huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa povu hili ni mawili wewe ndiye unayedai hayo mafao na sii baba yk au kuna fungu lako kwa mzee wako una lisubili ila kinachokwamisha ni hao psssf..

Pole sana ila hakuna namna kwa sasa endelea kuwa na uvumilivu pesa yako utalipwa
 
Kama hali ndo hií mara kiķokotò mara kuchelewa kulipwa sasa kuna umuhimu gani wa kujiunga na mfuko wa jamiì. Bora umuiite mifuko ya serikali sio jamii
Kwakweli, wala haina tija tena. Haswa kwa upuuzi unaoendelea.
 
Mbona enzi za Dr.Dau mafao ilikuwa wiki 2 pesa inaingia kwenye akaunti yako?
Na huki serikali ilikua inadaiwa 8trilion na hiyo mifuko na miradi mikubwa ilikua inafanyika.Sasa mkuu anasema wamelipa eti imebaki 200bn lakini mifuko haina kitu waala hakuna mradi wa maana unaondelea katika hiyo mifuko.
Tutashuhudia hata NHC kufilisika tena
Tutashuhudia mengi.
 
serikali inaendesha mashirika yake kienyeji sana, na ndio maana ATCL itakufa tu! hakunaga ufanisi ni mwendo wa konokono kwenye kilakitu. Sasa wanataka watu wafe njaa huko mitaani?? kama hawakujipanga kwanini walikua na kimbelembele cha kuunganisha mifuko?? nchi ina mambo ya kipuuzi sana.
 
Walipeni watu hela zao, mwezi ndo huu mulio ahidi kwenye kadamnasa na mbele ya vyombo vya habari na kwa mheshimiwa Rais.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
serikali inaendesha mashirika yake kienyeji sana, na ndio maana ATCL itakufa tu! hakunaga ufanisi ni mwendo wa konokono kwenye kilakitu. Sasa wanataka watu wafe njaa huko mitaani?? kama hawakujipanga kwanini walikua na kimbelembele cha kuunganisha mifuko?? nchi ina mambo ya kipuuzi sana.
Yaani shangwe nyingi hatijui hela zatoka wapi. Wengine wana filisika ak FastJet, wengine wanachipkia.
Huku kushoto, mafao haya lipwi wala kutoka. Unashanga thamani ya watumushi wastaafu iko wapi na wale wengine wanao dai haki zao.
Kama mtu ulikatwa hela yako na ikaifadhiwa na mfuko, iweje kukulipa I we shida mno? Hela wanapeleka wapi? Riba kiduchu, mishahara wanalipana kwa kazi gani? Kama ma file haya fanyiwi kazi kila siku kupiga watu tarehe. Yaani mpaka madada wa watu kwenye customer care centre wanashindwa wawajibu nini wateja wao, wanaishia kusema kwakweli hatuji ni link zitalipwa. Kwasababu wamedanganya uongo wote umewaishia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom