Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,091
- 165,244
=Wastaafu...
Halafu hizi ni fix na uache kutisha watu wewe kibarua Wa NSSF....
huo ndo ukweli PSPF hakuna kitu najuta najuta na ntajuta hadi nastaafu
=Wastaafu...
Halafu hizi ni fix na uache kutisha watu wewe kibarua Wa NSSF....
huo ndo ukweli PSPF hakuna kitu najuta najuta na ntajuta hadi nastaafu
Ni kweli kabisa. Mimi ni mmoja wa wastaafu ambao sijapata hiyo pensheni kupitia PSPF! Nimeangalia salio CRDB nimekuta hamna kitu!Inasikitisha sana, ni kweli wastaafu wa PSPF hawajalipwa pension ya January, February na March
Sawa binamu....
Siku hizi si kuna fursa ya kuhama mfuko??
Hujachelewa.
Naomba unielewe, mimi si husiki kabisa na NSSF.Kwanza NSSF ndio wa hovyo kuliko wote.Ni ukweli kwamba wastahafu wa PSPF hawajalipwa pension zao kwa kipindi cha April,May na Juni kama ilivyo kawaida.Kama hii sio kweli ndio uongee,vinginevyo kaa kimya usidakie maneno usiyo yajua.
Fanya homework kodogo kabla ya maamuzi....karibu mnibadili mawazo nimepitia ripori ya bosi wao SSRA 2014...hakuna mfuko unaololipa kama PSPF hao LAPF hawana hata wa kuwalipa NSSF labda ni shirika la nyumba na mbwembwe zoote za mijengo na wanachama lukuki wamelipa kidoonyoo.....mbona hiyo kitu haipo haiwezekani yani ingekua inaezekana ningeshahama zamani mnooo
usidhan nimekurupuka au naongea ili kuharibu biashara nnaongea nna uhakika 100%...mtu wangu wa karibu yupo LAPF alishafanya kazi sehemu tatu tofauti na kila akiquit anachukua contribution zake LAPF na last time mie mwnyw ndo nlimjazia fomu za kuomba hela zake nkapeleka j3 alhamisi hela ikaingia kwenye account!!!muda huo nlikua ma kijacho nikapewa fomu nijaze mafao ya uzazi roho iliniuma nkiwaza sipo LAPF nkatoka hapo na moto hadi PSPF kuuliza mafao ya uzazi wananijibu ujinga usioeleweka mara hawajaanzisha nyambafff wakat wanajinadi wana mafao ya uzazi...PSPF HAKUNA KITUFanya homework kodogo kabla ya maamuzi....karibu mnibadili mawazo nimepitia ripori ya bosi wao SSRA 2014...hakuna mfuko unaololipa kama PSPF hao LAPF hawana hata wa kuwalipa NSSF labda ni shirika la nyumba na mbwembwe zoote za mijengo na wanachama lukuki wamelipa kidoonyoo.....
Mimi nafikiri ifike mahala miradi na gharama zake inayofanywa na pesa Za wafanyakazi iwe inawekwa wazi ...vyama Vya wafanyakazi ..Kama TUCTa ..CWT ..etc ..ambao wanakatwa viwe na uwakilishi kwenye Bodi
Achana na hizo report za 2014 tunazungumzia hali halisi,wastaafu wa PPF hawajalipwa pensheni yao ya January,February na March 2015Fanya homework kodogo kabla ya maamuzi....karibu mnibadili mawazo nimepitia ripori ya bosi wao SSRA 2014...hakuna mfuko unaololipa kama PSPF hao LAPF hawana hata wa kuwalipa NSSF labda ni shirika la nyumba na mbwembwe zoote za mijengo na wanachama lukuki wamelipa kidoonyoo.....