Tukundane
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 12,231
- 9,552
Serekali ya CCM ni majanga mpaka kwenye sitahili za watumishi,imeshindwa kuwalipa mishahara mizuri imewanyang'anya hata kile walichokuwa nacho.
Pamoja na kwamba JK ameahidi kulipa madeni yote ya PSPF kabla hajaondoka lakini huo ni muendelezo wa kisanii wa kujaribu kuwashawishi watumishi ili waweze kupata kura zao.
Hapo ndipo watumishi wanatakiwa watumie msemo wa Jk mwenyewe wa akili za kuambiwa changanya na zako.