PSPF, TRA, LAPF, TPA, GPSA Wanaongoza kwa udini

PSPF, TRA, LAPF, TPA, GPSA Wanaongoza kwa udini

Status
Not open for further replies.
Mashirika hayo ya umma yanaongoza kwa udini...huku serikali ikiwa kimya....je hii ni sawa kweli? Ukiomba kazi kama jina lako sio john au magdalena hupati kazi hapo...tunaomba serikali ilifanyie kazi suala hili................
too low muombe mods aanzishe jukwaa la dini kama atakubali....
 
Mashirika hayo ya umma yanaongoza kwa udini...huku serikali ikiwa kimya....je hii ni sawa kweli? Ukiomba kazi kama jina lako sio john au magdalena hupati kazi hapo...tunaomba serikali ilifanyie kazi suala hili................

Soma sana (elimu dunia) uone kama hutaajitiwa huko! Kuna Waislamu wengi tu humo isipokuwa umekalia ulalamishi na kujibweteka!!
 
Mashirika hayo ya umma yanaongoza kwa udini...huku serikali ikiwa kimya....je hii ni sawa kweli? Ukiomba kazi kama jina lako sio john au magdalena hupati kazi hapo...tunaomba serikali ilifanyie kazi suala hili................

Unaujua ule mtandao wa kupeana kuangalia Kama ni "wenzetu". Udini usipokemewa utalitafuna taifa hili.Tukemee udini kwa nguvu zetu zote.
 
wewe sema elimu ndogo huna sifa na vigezo vya kuajiriwa acha bla bla bla
 
Ni point ina umihimu wa kuzingatiwa, hili inawezekan sana lipo na muhimu kuwa na mfumo wa uwazi kwenye fursa za nyadhifa
 
Aaah,mnalumbana kwa mambo yasiyo na tija tena kwa JF ambapo wengi wa wanachama ni wasomi,hii ni sample tosha kuwa kwenye vichwa na mioyo ya watanzania udini una nafas sana,
Tuachaneni na kasumba za kipuuz hizo jaman tufanyen kazi tupate mkate wetu wa siku maisha yaendelee,
 
Kuna dini inapewa hadi ruzuku (mou), na nyingine haipewi. Kwa hali hiyo kweli wataacha kuwa wengi mashuleni na maofsn?

Usisahau benki zao pia zinatumika kutakatisha fedha haram.
 
Ila NSSF ndiyo siyo wadini? Halafu sijui umedata au nini mnona umepotea jukwaa?

Hao ni vibaka waliofanya vichwa vyao kama mashimo ya vyoo kupokea kila uchafu watakaopewa na mabwana zao.
 
Aaah,mnalumbana kwa mambo yasiyo na tija tena kwa JF ambapo wengi wa wanachama ni wasomi,hii ni sample tosha kuwa kwenye vichwa na mioyo ya watanzania udini una nafas sana,
Tuachaneni na kasumba za kipuuz hizo jaman tufanyen kazi tupate mkate wetu wa siku maisha yaendelee,

kasumba za kipuuz ili hali watu wamesema ukweli??

then mlivyo na roho mbaya mkiona mahali kuna mkurugenz muislam tuh kama nssf lazima muanze kumwaga povu,

watu wa hovyo kabisa
 
Nssf kama sio ramadhani nako shidaa usiwe bias wewe tunayajua yote
 
Usituwekee mada za uchochozi humu tubadilishe uongozi haya yapungue
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom