Toa
leta jina au cheki namba tukutolee data hatufichi kitu...acha udalali...Inaelekea wewe ni mfanyakazi wa pspf . watu wanahangaika pia kuna watu waliomba mkopo wa kujiandaa kustafu na waligharamika kupitia hatua zote .hadi sasa ni miaka miwili hakuna kitu .
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha udalali...taja majinaPSPF walikua vizuri ila wameiga ujinga wa ppf na nssf. Kwanza hata kwenye maofis yao kumejaa undugu na majungu