- Thread starter
- #21
Serikali inadai 3.1trillion. Je ni deni la pesa ambazo serikali imechukua au ni michango ya civil servants ambazo serikali haikupeleka. Ufafanuzi tafadhali
nilimuuliza jamaa ambayo anafanya kazi huko pspf ameniambia hilo deni serikali inadaiwa ni ruzuku/subsidies kutokana na formular inyotumika na pspf kwa makubaliano na serikali ambapo wastaafu wa mfuko huo wanalipwa mafao makubwa ambayo hayalingani kabisa na michango waliyochangia.ambapo wanabase zaidi miaka ya utumishi, kwa hiyo tofauti serikali ndio inachangia.sasa ishafika trilioni 3.