Mashamba Makubwa Nalima
JF-Expert Member
- Mar 19, 2024
- 7,658
- 3,746
Lamomy heri ya mwaka mpyaHivi wewe unatumia keyboard ya kilugha au??
Naona arsenal kapita hahaha 😂😂😂😂😂cha msingi ni kuwa Arsenal anapita, nilifurahi sana game ya jana Barca anatolewa, maana walikuwa na kamdomo sana. Kwamba kina Dimarco na Acerbi wazee wanalambishwa nyasi na Yamal.
Msimu huu umekuwa poa sana. Japo City hatumo Final.
Madrid OUT
Bayern OUT
Liver OUT, No treble
Barca OUT, No treble
Mkuu kwema?.Usiseme hivyo, hata kwa madrid mlisema hivyo hivyo
😀 kapita kwenda kariakoo, anacheza mpira slow apiteje aje tujumuike EPL.Naona arsenal kapita hahaha
😂😂😂😂😂Arsenal anaenda kupindua Meza, usiwachukulie poa