Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,235
- 86,944
😹😹😹 Alooo..!!Si Bora brush,anazikuna na mikono na kunusa kabisa , akili zake bhan😅
😹😹😹 Alooo..!!Si Bora brush,anazikuna na mikono na kunusa kabisa , akili zake bhan😅
Arsenal ana shinda
Title isomeke Arsenal anashinda 4-0Arsenal ana shinda
2,3 hazi zidi hapoTitle isomeke Arsenal anashinda 4-0
cha msingi ni kuwa Arsenal anapita, nilifurahi sana game ya jana Barca anatolewa, maana walikuwa na kamdomo sana. Kwamba kina Dimarco na Acerbi wazee wanalambishwa nyasi na Yamal.2,3 hazi zidi hapo
Labda aende kupindua meza ya kitambaa cheupeArsenal anaenda kupindua Meza, usiwachukulie poa
karibu..Arsenal anaenda kupindua Meza, usiwachukulie poa
ANARUDI na 2-1cha msingi ni kuwa Arsenal anapita, nilifurahi sana game ya jana Barca anatolewa, maana walikuwa na kamdomo sana. Kwamba kina Dimarco na Acerbi wazee wanalambishwa nyasi na Yamal.
Msimu huu umekuwa poa sana. Japo City hatumo Final.
Madrid OUT
Bayern OUT
Liver OUT, No treble
Barca OUT, No treble