PS3 au PC ipi Unaikubali (kwa kipato cha kati)

PS3 au PC ipi Unaikubali (kwa kipato cha kati)

mkuu console almost games zote ni 720p na ukikuta game ni 1080p basi sio native wameli upscale. games chache sana za console zinakuwa na resolution kubwa.

hivyo ukiwa na tv yako lets say ya 4k au ultra HD console ni Big no na pc ndio mpango mzima.

pc ina advantage kwenye kila aina ya screen na sio console

Ila si kuna Ps4 pro na Xbox One S...so mishe za 1080p, 4K ts no longer an issue we na Tv yako tu..CONSOLE ina heshima yake aisee, nimetokea mbali tangu 8-Bit family game, nintendo game boy, SeGa, ps One....Console Big Yess
 
1. hizo xbox one s na ps4 pro games chache ndio native 4k na nyingi wamezicap ziwe 30fps

2.yeah zamani ulikuwa huna option ya gaming pc ilikuwa lazima ununue console ila sasa hivi games za pc zipo kibao kwa bei rahisi kuliko console.
 
huhitaji gpu nzuri unahitaji tu cpu yenye single thread perfomance kubwa, emulator zote hapo juu nimecheza na desktop ya core 2 duo isio na gpu ambayo unaipata kirahisi chini ya 150,000.

na utaweza ku emulate ps2 kwenye ps3 sababu zote ni sony ila ukija gamecube, nintendo wii, xbox na wengine utashindwa.
ndio sawa mkuu sina la kuongezea
 
Back
Top Bottom