juniour12
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 407
- 375
Habari wakuu....Kwa anaye fahamu ni wap nitapata PS2 used na kwa bei rahisi tafadhali naomba kujuzwa..Nina mpango wa kununua kama 4 hivi..Then na TV(video) za inchi 21" wap naweza pata hivyo vitu kwa reasonable price.Wanajamvi naombeni msaada wenu tafadhali.