PS2(Natafuta Play Station 2) na TV za inchi 21"

juniour12

JF-Expert Member
Sep 18, 2013
411
500
Habari wakuu....Kwa anaye fahamu ni wap nitapata PS2 used na kwa bei rahisi tafadhali naomba kujuzwa..Nina mpango wa kununua kama 4 hivi..Then na TV(video) za inchi 21" wap naweza pata hivyo vitu kwa reasonable price.Wanajamvi naombeni msaada wenu tafadhali.
 
McDonaldJr

JF-Expert Member
Sep 25, 2013
6,392
2,000
Ww unapatikana wp na izo Ps2 unataka kwa bei gn hopn uko serious,ila zinakua na pad moja moja.
 
McDonaldJr

JF-Expert Member
Sep 25, 2013
6,392
2,000
na mm nahtaj ps2 moja tu,unauza shlng ngapi npm!

Leo jioni ntakucheki maana kuna mpwa 1 anafunga kijiwe chake cha game center ivo anauza Ps2 zote ngoja nikamuulize bei ila yuko Iringa maeneo ya Ilala
 
viking

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
1,861
2,000
Habari wakuu....Kwa anaye fahamu ni wap nitapata PS2 used na kwa bei rahisi tafadhali naomba kujuzwa..Nina mpango wa kununua kama 4 hivi..Then na TV(video) za inchi 21" wap naweza pata hivyo vitu kwa reasonable price.Wanajamvi naombeni msaada wenu tafadhali.

Sema bajeti yako ya vitu vyote ni sh ngapi nipo nje naweza kukuletea
 
chaUkucha

JF-Expert Member
May 28, 2012
3,372
2,000
Habari wakuu....Kwa anaye fahamu ni wap nitapata PS2 used na kwa bei rahisi tafadhali naomba kujuzwa..Nina mpango wa kununua kama 4 hivi..Then na TV(video) za inchi 21" wap naweza pata hivyo vitu kwa reasonable price.Wanajamvi naombeni msaada wenu tafadhali.

mimi ninayo PS 2 memocard yake unaweza kutumia flash disk kucheza game ni mpya nauza 210,000/=
 
Rutagwerera Sr

JF-Expert Member
Dec 21, 2011
2,280
2,000
Habari wakuu....Kwa anaye fahamu ni wap nitapata PS2 used na kwa bei rahisi tafadhali naomba kujuzwa..Nina mpango wa kununua kama 4 hivi..Then na TV(video) za inchi 21" wap naweza pata hivyo vitu kwa reasonable price.Wanajamvi naombeni msaada wenu tafadhali.

mkuu mm ninazo ps2 na tv nichek kwa 0654 687403
 
azee

Member
Apr 25, 2012
77
95
Habari wakuu....Kwa anaye fahamu ni wap nitapata PS2 used na kwa bei rahisi tafadhali naomba kujuzwa..Nina mpango wa kununua kama 4 hivi..Then na TV(video) za inchi 21" wap naweza pata hivyo vitu kwa reasonable price.Wanajamvi naombeni msaada wenu tafadhali.

Ninayo Tv, aina ya Samsung Slim, naiuza kwa Tsh. 200,000. Ready to be sold
 
mamakibunju

JF-Expert Member
Dec 28, 2013
1,014
1,195
me ninayo ps2 na pad mbili kwa 150,00 original from uk, pia nauza Game za kucheza kwenye PS2(PAL) Zinaanzia 10,000 hadi 10,000, PS2 ninazo zaidi ya Moja Ni Pm tuongee biashara..!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom