PS wangu ananitega

Qualifier

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2012
Posts
1,252
Reaction score
407
Wapendwa wana JF mwenzenu nimekwepa majaribu mara kadhaa kutoka kwa secretary wangu hua ananitega mara kwa mara, majuzi nilikuwa Iringa safari ya kikazi akanipigia simu saa tano za usiku baada ya kunisalimia akaniuliza vipi habari za Iringa?

Nilimjibu huku salama ila baridi ni kali sana ndipo alipo niambia kwanini hukuniambia tusafiri wote? nilibaki kimya huku nikisubiri aniambie tatizo la kunipigia simu usiku ule , akaishia kusema haya nilitaka kukusalimia tu ila usikose kuniletea zawadi.

Nilipo rudi akawa ananiangalia kwa macho ya kulembua kila anapo ingia ofisini. Kuna siku nimempa kazi ya kuchapa barua alipo maliza akaniletea laptop ili nii proof read ile barua akasimama nyuma ya kiti changu na kunigusisha nyonyo zake kwenye bega la kulia ,nilijikausha kama sioni kitu pamoja na kuwa mwili wangu ulipatwa na mfadhaiko.

Ilipo fika muda wa chai nilipo maliza kunywa chai nikanawa mikono akanifuta mikono kwa kutumia kitaulo kidogo wakati sio utaratibu ulio zoeleka.

Jana wakati ninatoka ofisini akasimama mlangoni kama vile anataka kunizuia nisitoke ,mimi nikasimama kusubiri anipishe akaniangalia usoni kwa sekunde kadhaa na baadaye akatoa bonge la tabasamu, nikaendelea kumuangalia akakimbia huku anacheka. jamani hii kama si mitego ni nini?

Dawa yake ni nini?
 
Mpandishe cheo awe Principal Office Supervisor (POS) halafu omba sasa uletewe PS mwanaume! Lakini kama remedy ya haraka unaweza kuacha kutumia vyakula na/au vinywaji baridi ofisini. Muda wa chai na/au chakula ukifika nenda canteen ya jirani uhudumiwe huko. Kama maji ya kunywa au soda utakuja nayo kutokea huko....
 
ila unamhujumu bure. mpe haki yake. huwez kujua atakufaaje uko mbele.
mpe dushe akupige blowjob ya maana.
 
Ukimgonga tu, kuna mmoja wenu au wote mtapoteza kazi, maana hiyo ofisi itageuka danguro
 
Fukuza kazi huyo hana maadili ya kazi.... hahahahaha najua utanijibu.."thubutuuuu" then wewe ndo unamtega kwa kumuendekeza!!!!!
 
naomba namba yake nimpigie anavyofanya sio sawa
 
THE ME ME ME GENERATION!
Tatizo la kupewa madaraka mkiwa bado makinda. Ikiwa issue trivial kama hii inakusumbua, je utaweza ku-handle changamoto za kazi weye!NONSENSE KABISA.
 

mwamuzi ni wewe ukiwa siliazi kabisa hawezi fanya hayo mambo kama vipi chepuka uharibu na ndoa yako sababu ya upungufu wa akili mbona wengine tunao na tuko siliaz tu na hawawezi kuleta mazoea fanya kazi acha mapenzi
 
Kwa hiyo bosi, mwenye ofisi...hata hajui what to do katika scenario za namna hiyo??? safari yetu ni ndefu sana...
 
Kapigwa na maisha anatafuta nafuu. Peleka kitengo kingine au muondoe. Kazi na mapenzi mbaaalimbali. Nawasilisha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…