Ps: Usalama wa Taifa Tanzania

Napenda kufanya kazi kwenyee hii taasisi, all my 3 years of law enforcement bachelor pale UDSM wanafunzi na lectures walihisi I am one of them na nikwasababu ya uwezo wangu mkubwa wa kusolve issues na lifestyle yangu, recruiters kama mnapita nahumu naomba mnione.

Cc. Dr. Modestus Kipilimba
Cc. Robert Msalika
 
Attachments

  • TISS ACT 1996.pdf
    1 MB · Views: 156
Hao ulio wa Copy akina "Teacher " Msalika na huyo Kapirimposhi sijui mmoja wao anapitaga sana humu..huenda ataku PM..teh!
 
Mkuu usione wanavaa suti au kaunda suti ukafikiri ni rahisi au ni kutamu hapana ,,hyo kazi ni ngumu tofauti na sisis raia tunavyochukulia na kutokana na story za vigengeni mtaani,,,,na ukiipata hautotaman ujulikane kwa title hyo wew ni usalam ,,,utaishi kama ndege kwa namna nchi inavyopitia mambo magumu kwa sasa,,,watu wengi tunalala mtaani tunafanya kila jambo lakin hao jamaa wapo macho kama bundi kutizama ni yapi yanaweza kuatarisha usalam wa ichi,,,kama unataman san hyo kazi muombe mungu sana lakin jua pia unajitoa kwa taifa kwanza,,na uwe tayar kwa lolote katka maisha yako na ndio uzalendo ??

.....karibu mtaani tujitegemee kwa biashara ndogo ndogo
 
Napenda kufanya kazi kwenyee hii taasisi, all my 3 years of law enforcement bachelor pale UDSM wanafunzi na lectures walihisi I am one of them na nikwasababu ya uwezo wangu mkubwa wa kusolve issues na lifestyle yangu, recruiters kama mnapita nahumu naomba mnione.

Cc. Dr. Modestus Kipilimba
Cc. Robert Msalika
Una umri gani? kila kitu kinawezekana asikukatishe tamaa mtu kama umri wako unaruhusu kwenda jkt kwa mujibu fanya hivyo, ama unaweza kuomba kazi polisi jeshi takukuru, maadili, au kwenye vyombo vingine vya usalama...kisha utendaji wako utakupeleka panapostahili kila la kheri.
 
Napenda kufanya kazi kwenyee hii taasisi, all my 3 years of law enforcement bachelor pale UDSM wanafunzi na lectures walihisi I am one of them na nikwasababu ya uwezo wangu mkubwa wa kusolve issues na lifestyle yangu, recruiters kama mnapita nahumu naomba mnione.

Cc. Dr. Modestus Kipilimba
Cc. Robert Msalika
Kwani ofisi zao zilipo hupajui?
 
Back
Top Bottom