Prakatatumba abaabaabaa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 2,225
- 7,499
- Thread starter
-
- #61
Yeah nimekuelewa vizuri, nilikua nazungumzia mafundi ambao 90% tunashinda nao hapa mtaani, lakini nimekuelewa sana nilichogundua ni kufanya ufundi kuwa biashara hapo mafanikio atayaona.Ishu nyingine kuna mama tunakaa nae mtaa mmoja yeye anatengeneza crisp za ndizi oya yule mama yuko njema kishenzi mzee na yeye crisp anauza kwa jumla akitengeneza hazikai zishabebwa zote kaajiri vijana anatengeneza usiku kucha...ana nyumba kadhaa na mafanikio kadhaa kasomeshaw awatoto mpaka chuo na wanajitegemea. Hivyo acha dharau kwakua wewe pengine una miliki pesa ya kula na kubadilisha nguo ..Maisha yana njia nyingi za kupiga hatua kwa mtu mwenye juhudi,uvumilivu ,bahati na anayejua kucontrol tamaa yake.
Garage za hivi ni za kuepuka,vijana hawana morali na kazi wanalipua tu.Mkuu nakuelewa sana, lakini mimi sio mchawi ila huyo jamaa anamiliki gereji yake mwenyewe na anao vijana wa kuwatumikisha kwa ujira mdogo, kazi ya million 2 anawapa 20,000/=
Hao wahindi wa Toyota Tanzania wanawapa mashavu sana wahindi wenzao wenye garage ni nchi nzima Authorized service workshops na spare parts dealers wa Toyota Tz wengi ni wadosi na wana hela.Mifano inawahusu watz waswahili tu? Kama unawahusu na waTz wahindi, muangalie Datan, (Toyota Dodoma) Ni fundi yule babe.
He’s rich.
Uko sahihi kuwa ili uwe tajiri (Financially loaded) lazima ufanye skill yako iwe biashara.
Mtu yeyote ambae anafanya kazi ya Nguvu hawezi kuwa Tajiri.Graduate mlioenda VETA mnaendeleaje?
Tarehe 7 Agosti 2025, Waziri Mkuu wa wakati huo, Kassim Majaliwa, aliwataka wazazi na walezi kuhakikisha vijana wanapelekwa kwenye mafunzo ya ufundi stadi yanayoratibiwa na VETA na Ofisi ya Waziri Mkuu. Alisisitiza kuwa lengo ni kuwapa vijana ujuzi wa kuajiriwa au kujiajiri.
Mimi tokea makuzi yangu yoote sijawahi kuona fundi mwenye financial freedom, sjjawahi kuona nilipokuwa mdogo kuna jamaa alikuwa ni fundi wa gari la pale home imepita miaka 20 sasa hakuna chochote anachokimiliki naona maisha yake ni magumu tu.
The same na mjomba wangu alikua fundi mechanics mzuri miaka mingi iliyopita kamaliza ujana wake wote sasaivi yupo na 63 na hakuna chochote anachokimiliki,
Mimi sijawai kuona fundi aliefanikiwa ni wachache sana ambao waliingia kwenye mfumo wa kubadilisha ufundi kuwa biashara nb wachache sana, shida ya hapa Tanzania kwa kijana ambae anachipukia kwenye ufundi ni mjuano (nepotism) mimi nikiwa na kazi nitamtafuta mtu ninayemfahamu anifanyie kazi , unajifunza labda umeme wa magari au mechanics au umeme wa majumbani, nani atakayekupa kazi? Je uwezo wa kufungua workshop yako unao?
Mkombozi kwa vijana ni kuwekeza upande sahii, kuwaelekeza upande sahii ambao ni productive nimeona kwenye biashara watu wengi wakianzia chini kabisa, mpaka kufikia kiwango kikubwa mno, nimeona watu wakilima mpaka kumiliki tractor zao binafsi. Lakini sijaona fundi pikipiki, bajaj, tiles, mechanics, n.k akifanikiwa.
Nitapataje utajiri wakati ninaemfanyia kazi nae masikini.Nionyeshe fundi tajiri nikupe ten.
Define kwanza Fundi ni naniGraduate mlioenda VETA mnaendeleaje?
Tarehe 7 Agosti 2025, Waziri Mkuu wa wakati huo, Kassim Majaliwa, aliwataka wazazi na walezi kuhakikisha vijana wanapelekwa kwenye mafunzo ya ufundi stadi yanayoratibiwa na VETA na Ofisi ya Waziri Mkuu. Alisisitiza kuwa lengo ni kuwapa vijana ujuzi wa kuajiriwa au kujiajiri.
Mimi tokea makuzi yangu yoote sijawahi kuona fundi mwenye financial freedom, sjjawahi kuona nilipokuwa mdogo kuna jamaa alikuwa ni fundi wa gari la pale home imepita miaka 20 sasa hakuna chochote anachokimiliki naona maisha yake ni magumu tu.
The same na mjomba wangu alikua fundi mechanics mzuri miaka mingi iliyopita kamaliza ujana wake wote sasaivi yupo na 63 na hakuna chochote anachokimiliki,
Mimi sijawai kuona fundi aliefanikiwa ni wachache sana ambao waliingia kwenye mfumo wa kubadilisha ufundi kuwa biashara nb wachache sana, shida ya hapa Tanzania kwa kijana ambae anachipukia kwenye ufundi ni mjuano (nepotism) mimi nikiwa na kazi nitamtafuta mtu ninayemfahamu anifanyie kazi , unajifunza labda umeme wa magari au mechanics au umeme wa majumbani, nani atakayekupa kazi? Je uwezo wa kufungua workshop yako unao?
Mkombozi kwa vijana ni kuwekeza upande sahii, kuwaelekeza upande sahii ambao ni productive nimeona kwenye biashara watu wengi wakianzia chini kabisa, mpaka kufikia kiwango kikubwa mno, nimeona watu wakilima mpaka kumiliki tractor zao binafsi. Lakini sijaona fundi pikipiki, bajaj, tiles, mechanics, n.k akifanikiwa.
Si mafundi tu! kila fani wapo wanaotoboa na ambao hawatoboi......Basi mafundi wa miaka hii hawataki mchakato kabisa.
Hizi dharau ndo zinawafanya wasitajirike, yaani afanye research nchi nzima kumtafuta fundi tajiri halafu malipo yake ni ten?!Nionyeshe fundi tajiri nikupe ten.
sikazii, na upuuzweKutana na Fundi dronedrake mwenye Familia 58 zilizopanga kwenye apartments zake huko Mbweni.
Mashamba yasiyopungua Hekari 600 hapo sijakutajia nyumba za huko Mvuti na ilala Maeneo ya Sharif Shamba.
Hapo ni kijana wa miaka 32.
UMEME HUO.