Prakatatumba abaabaabaa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 2,226
- 7,500
- Thread starter
-
- #21
Nimekuelewa hapo kwenye quotation ya ruge mtahaba kwahiyo tuseme vijana wa sasa hawataki mchakato wa kuanzia chini? Yaani kuanza kwa spana mkononi mpaka kumiliki brand kubwa? Tatizo vijana wenye ujuzi mkubwa sana na wanaoanza game na ni wataalamu kwenye land cruiser na discovery wanalalamika kazi zote anapewa mwinyi (mjuano/nepotism) sasa ipi nafasi ya kukuwa kwa huyu mtaalamu? Je aanze chini/ahame mkoa?RUGE MUTAHABA (R.I.P) alisema kwamba;
"Tafuta nafasi, ukiipata onyesha uwezo wako, talanta yako, bidii yako. Utajiri na mafanikio yatakuja baada ya hapo".
Sijajua wewe upo mkoa gani, lakini hapa mjini Daslam, kuna watu walianza na gereji za spana mkononi, sasa hivi wana "brand" zao za gereji. Kunq ankoli mmoja wa Mwinyi, alitoka Polisi Ufundi Kurasini, akaanzisha gereji yake hapa mjini, ukiongelea mafundi wazuri wa Land Rover discovery kuanzia matoleo ya chini yale, mpaka hizi mpya. Watakwambia nenda gereji kwa Mwinyi.
Kuhusu utajiri: Kwa macho yangu naona anao. Importers na users wengi wa magari hayo wanamjua huyo bwana. Anashughulika na gari hizo tuu, amejibrand hivyo, kuanzia discovery matoleo yote, Range Rover matoleo yote, zipo chungu nzima gereji kwake.
Hamisa Mobeto wanasema ni FUNDI kitandani mbona ana ukwasi mzuri ?Nionyeshe fundi tajiri nikupe ten.
Kuna jamaa mmoja yupo Instagram anaitwa fundi wa dunia ni mtanzania yupo south Africa, ana skills mbili fundi umeme wa majumbani, fundi carpenter anasema amefanya kazi Tanzania kulala njaa kwake ilikuwa ni kawaida sana, kapiga mahesabu kaona nafasi ya kufanikiwa na kuchomoka hapa Tanzania ni ngumu sana, mwaka mmoja baada ya kwenda South Africa anasema hawezi kurudi Tanzania kwasababu ya nepotism bora afe kwenye nchi za watu kuliko kurudi kufanya kazi za ufundi hapa Tanzania, opportunity ni chache na zipo limited sana.RUGE MUTAHABA (R.I.P) alisema kwamba;
"Tafuta nafasi, ukiipata onyesha uwezo wako, talanta yako, bidii yako. Utajiri na mafanikio yatakuja baada ya hapo".
Sijajua wewe upo mkoa gani, lakini hapa mjini Daslam, kuna watu walianza na gereji za spana mkononi, sasa hivi wana "brand" zao za gereji. Kunq ankoli mmoja wa Mwinyi, alitoka Polisi Ufundi Kurasini, akaanzisha gereji yake hapa mjini, ukiongelea mafundi wazuri wa Land Rover discovery kuanzia matoleo ya chini yale, mpaka hizi mpya. Watakwambia nenda gereji kwa Mwinyi.
Kuhusu utajiri: Kwa macho yangu naona anao. Importers na users wengi wa magari hayo wanamjua huyo bwana. Anashughulika na gari hizo tuu, amejibrand hivyo, kuanzia discovery matoleo yote, Range Rover matoleo yote, zipo chungu nzima gereji kwake.
Waliopo riverside pia wanafanya kazi na ni mafundi kuliko huyo na bado ni maskini.Hamisa Mobeto wanasema ni FUNDI kitandani mbona ana ukwasi mzuri ?
Nionyeshe fundi tajiri nikupe ten.
Nionyeshe fundi tajiri nikupe ten.
Kuna jamaa mmoja yupo Instagram anaitwa fundi wa dunia ni mtanzania yupo south Africa, ana skills mbili fundi umeme wa majumbani, fundi carpenter anasema amefanya kazi Tanzania kulala njaa kwake ilikuwa ni kawaida sana, kapiga mahesabu kaona nafasi ya kufanikiwa na kuchomoka hapa Tanzania ni ngumu sana, mwaka mmoja baada ya kwenda South Africa anasema hawezi kurudi Tanzania kwasababu ya nepotism bora afe kwenye nchi za watu kuliko kurudi kufanya kazi za ufundi hapa Tanzania, opportunity ni chache na zipo limited sana.
Si kila mtu ana malengo ya kuwa tajiri
Umeona eeh? Watu wengine wanaridhika na vitu vya kawaida kabisaKwa nini watu hili hawalielewi?
Mtu mwingine akipata chumba kimoja na sebule. Hata cha tofali za kuchoma anaona amemaliza maisha na anaishi.
Vijana wa humu washamba sana mkuu.Nenda kawatafute mafundi wanaofanya industrial automation, umeme wa meli, au heavy equipment mechanics wa migodini uone wanavyopiga hela.
Umeambiwa toa kigezo cha utajiri, kkoo huku kuna mafundi kibao they earn more than average, mtu kuingiza laki 3 kwa siku kawaida.Nionyeshe fundi tajiri nikupe ten.
Nduvini auto parts garageNionyeshe fundi tajiri nikupe ten.
Una point lakini umesahau kufika juu lazima uanzie chiniHahaha sasa kaka, hao unaowasemea wana channels kali sana yani mpaka upate tenda ya kufanya kazi mgodini sio uwezo tu, uwezo plus network sasa mimi ninaoongelea ni hawa vijana ambao wanaenda kusoma mechanics, then hao mafundi wanofanya automation viwandani kwa viwanda vipi? After installation kuna kipi cha ziada? Viwanda ni vingapi?
Itabidi nibadilishe mtazamo.Tanzania inabadirika mdogo wangu; ufundi wa miaka ya 2020 ni tofauti na ufundi wa miaka ya nyuma. Kwa sasa kuna teknolojia kubwa sana
Ujio wa magari aina mbalimbali kila kukicha kumeongeza wigo.
Utaona gereji nyingi, zinazofanya kazi sasa hivi mjini ni "branded", mtu anashughurika na aina flani tuu ya magari.
Hoja yangu: Bado ufundi unatajirisha hapa hapa bongo. Hata hivyo hatubishani, unaweza kuamini unavyoamini wewe.