Protase Rugambwa: Askofu Mwandamizi Anayeripoti Kituo chake cha Kazi Jimboni Tabora 25 Juni 2023

Ruzoka anaumwa nini hadi akaribie kufa?
 
Ukisikisikia makachero wabobevu wa kimataifa,ndiyo hao sasa,halafu mtu anataka kulibeza kanisa katoliki,thubutu uone.Lipo kila mahali,likitenda kazi yake mchana na usiku,popote pale,kuanzia kitongojini hadi levo ya dunia.
Jamaa ni noma sana, kukubalika namna hiyo sio mchezo
 
Time will tell (itunze hii)
 
Hapana. Yule Rugambwa wa kwanza ni Mhaya wa wilaya ya Bukoba, huyu Rugambwa wa Pili ni Mnyambo wa wilaya ya Karagwe
π™·πšŠπš πšŠ 𝚠𝚊𝚝𝚊𝚠𝚊 𝚜𝚊𝚊 πš—πš’πš’πš—πšπš’πš—πšŽ πš‘πšžπš πšŠ πš πšŠπš—πšŠπšŒπš‘πšŠπšπšžπšŠ πš–πšŠπš“πš’πš—πšŠ 𝚒𝚊 𝚞𝚝𝚊𝚠𝚊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…