Prophet Daniel Daniel Shillah ni nani hasa...?

Nilicho penda mimi ni kimoja tu, kumbe hat Dr. Shika tajiri mwenzetu nae ana sali kanisani kwake; mengine nawaachieni wenyewe mchangie
 
true namba yake hii 0768858585 nakumbuka Mwaka Jana uncle wangu alikuwa anasoma INDIA ALISEMA MUNGU AMEMUONYESHA ATOE SADAKA KWENYE MINISTRY YA HUYO DOGO NILITUMA MPESA 300K NAHIS UTAJIR ANAUPATIA HUKU..ILA HUYU ANKO ANASEMA DOGO SHILAH NI NABII ILA MCHANGA SANA KIROHO NIKAMUULIZA WHY AKASEMA HAJAFIKIA VIWANGO VYA JUU
 
wewe na yeye wote ni matapeli tu naona mmekuja na herufi kubwa kutafuta watu wa kuwatapeli shame
 
Acha huo ujinga mzee..
 
Huyo ni nabii asee anajilia sadaka tuu na tour kibao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…