Katika mitandao ya kijamii hasa mtandao wa Instagram kumekuwa na kijana mdogo anayejiita nabii shillah, na amekuwa akitangaza kanisa lake mara kwa mara huku akijinasibu hadi kuwapa hela waumini kila jumapili,
Lakini kwa lifestyle ya huyu kijana nimwkuwa na mashaka mara kwa mara kama kweli anapaswa kujiita nabii au anacheza na Dini za watu
View attachment 789480View attachment 789481View attachment 789482
Mdogo mdogo naanza kumuunga mkono kagame kuwabana hawa watu, wanaoleta usanii na imani za watu