Prophet Daniel Daniel Shillah ni nani hasa...?

Ndiye huyu video yake ilitikisa mitaa ya insta akiwa kasimama dirishani na bamia lake?
 
Ni Kama yule pastor Alie toa waraka sababu wote ni watumish wa Mungu
 
Tuache utani, akina shilla wengi ni wazuri wa backstage.
 
Huyu ni Nabii sawa na wengine,akichunga kondoo.Ni manabii Ila sio sawa na wale wa zama za Biblia wale walisimamia kweli awakujifungamanisha na matawala dhalimu.Amewahi challenge Utawala wa jiwe akaitwa akajieleze kwann asifungiwe akaenda kupiga magoti.Tangu siku hio amekuwa muimba kwaya mzuri.
 
Mkuu...hizo hela za kununulia mashine za kukoboa kusaga na ku pack amezikopa benki na kuweka dhamana cheti chake cha form six sio? Au ameweka dhamana biblia...tusaidie bana
 
Bilionea X5 kamkate maini mgombea wao wa TLP Ndugu Mtoto wa Kijijini Lijualibutu.
 
Hayo yote ni ubatili mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…