Bado unajaribu kutumia akili ya Upinzani kuuliza swali. Chadema hata wakikupa maelezo yao maadam wewe unapoingana na sera zao huwezi kuona inawezekana! lazima utaona mapungufu upande wa pili kwa sababu sera zako ni pinzani.Ulianza vizuri lakini umemaliza vibaya. Ninachowaomba mimi ni bajeti yenu kivuli inayoambatana na ukusanyaji kodi (kwa muona wa CHADEMA) na matumizi ikiwa ni pamoja na utoaji wa elimu bure.
Pengine niwe wazi hapa- Kuwa cha BURE KABISA HAKIPO, SWALI ni nani atalipa. Nilivyowaelewa katika kampeni yenu 2010 ni kuwa mtatumia fedha za kodi ya wananchi kutoa elimu bure. Ninachowaomba ni kuiona bajeti hiyo hapa JF ili nielewa kama inawezekana au ni Propaganda za uongo za kuingilia IKULU.
Mwalimu NYerere alitoa elimu bure, matokeo yake baada ya miaka 20 nchi ilitembelea magoti. CHADEMA (Mh Slaa) japo ya kujua hilo bado ilisisitiza kutoa Elimu bure kwa watanzania wote ili ishinde uchaguzi 2010, lakini ikaanguka. Hii ni kutokana na ueleo mkubwa wa watanzania na kuelewa kuwa hizo ni PROPAGANDA ZA UONGO.
Wiki iliyopita nilipoandika Thread "CHADEMA NI CHAMA CHA PROPAGANDA" wengi walidai nilete ushahidi au vyanzo vya taarifa hizo. Sikufanya hivyo kwa kuogopa Mod kuifuta habari hiyo. Leo nimeamua kuandika ushahidi wa Propaganda hizo za uongo tukianzia kwenye kipengele cha ELIMU BURE KWA WATANZANIA WOTE.
Ili twende hatua kwa hatua naona vyema tuanzie na mkoa wa Kilimanjaro ambako ndio Ngome ya CHADEMA ilikojikita. Naomba waziri kivuli wa fedha wa CHADEMA aeleze kinaga ubaga ni vipi kwa kutumia kodi ya mkoa wa Kilimanjaro itamudu kutoa elimu bure kwa wananchi wa mkoa huo kabla hatujazungumzia Tanzania nzima.
Mkoa wa Kilimanjaro unaongoza Tanzania nzima kwa kuwa na shule za Sekondari nyingi kuliko mikoa yote ya Tanzania. Una sekondari 288 wakati hata Dar es salaam ina sekondari 252 tu (Chanzo: www.moe.go.tz/NectaResuls). Wakazi wa kilimanjaro ni 1441000 ukilinganisha na Dar es salaam ambao ni takriban 2,809,000 (Chanzo: Tanzania: Regions, Major Cities & Urban Localities - Statistics & Maps on City Population). Pato la kodi la mkoa wa Kilimanjaro (Rombo, Hai, Mwanga, Same, Mosho mjini na Moshi vijijini) ni 14,236.4 Milioni (Tzsh) wakati lile la Dar es salaam ni 441,000.5 Milioni (Tzsh) (Chanzo: Tanzania Revenue Authority - Kigoma).
Kabla sijaandika zaidi naomba huyu waziri kivuli wa fedha wa CHADEMA akisaidiana na wapambe wake hapa JF wanieleze ni vipi watazigawanya hizo 14,236.4 milioni Tzsh katika huduma za matibabu (hospitali, zahanati na elimu ya afya), Polisi, utawala mkoa na wilayani, pembejeo, na Elimu (mishahara ya walimu, ukarabati na stationaries).
Mkishindwa kufanya hivyo maana yake ELIMU BURE KWA WATANZANIA WOTE NI PROPAGANDA YA UONGO. Vinginevyo mlitaka kutumia pesa ya walipa kodi wa mikoa mingine kuendeleza mkoa wenu maana kiuchumi haiwezekani Kilimanjaro yenye wakazi 1441000 iwe na shule kupita Dar es salaam yenye wakazi 2,809,000.
Nasubiri majibu yenu kabla sijaendelea na sekta nyingine.
Bado unajaribu kutumia akili ya Upinzani kuuliza swali. Chadema hata wakikupa maelezo yao maadam wewe unapoingana na sera zao huwezi kuona inawezekana! lazima utaona mapungufu upande wa pili kwa sababu sera zako ni inzani.
Kwa mfano Chadema wakisema, watapunguza mishahara ya wanasiasa haswa Mawaziri, Wabunge, Kuondoa kabisa manunuzi ya mashangingi na posho za vikao vya bunge, kupunguza gharama za safari na misafara ya rais na mawazirii zisokuwa lazima na kadhalika..
Hivi vyote, bado hutaelewa kitu kwa sababu huelkewi ni kiasi gani kitakusanywa kutokana na hayo, halafu utaanzisha Ubishi kwa sera hukubaliani na baadhi ya maamuzi kutokana na sera zako. Halafu, acha kuwa mwana Chadema au CCM, binafsi naamini kabisa inawezekana kama tukianza na kurekebisha sehemu muhimu za ukusanyaji wa kodi. TRA ifanyiwe marekebisho makubwa sana ktk utendaji kazi wake, iwezeshwe kwa vifaa vya kimataifa. Kila mwananchi awe na TIN namba yake - iwe lazima na ndicho kitambulisho.. Kodi ikishushwa hadi asilimia 10 hadi 15. Nina hakika wanananchi na wafanyabiashara wengi watalipa kodi halali kuliko kupitia mlango wa nyuma. Kwa kutoza asilimia 10 serikali itaweza kukusanya zaidi pato la taifa kuliko leo hii bila ongezeko la uzalishaji.
Moja ya sababu kubwa za Udini nchini zimetokana na mfumo tenge wa ELIMU..Mtazungumza yoote mnayoweza kuyasema lakini kwa mfumo wa ELIMU uliopo leo hii nchini, Udini utazidi kupata nguvu kubwa sana na pengine hata itakuja tokea vita. Nawasoma watu wote wanavyoandika hapa JF wenye jazba na majigambo, wengine matusi mazito mazito kwa sababu hakuna tsababu ya ujenzi wa chuki baina ya Muislaam na Mkristu isipokuwa kupitia Elimu..
JK sio sababu ya Udini nchini, yeye anatumia Udini uliopo kwa manufaa yake. Kwa wananchi wasiokuwa na Udini, JK hawezi kuwachonganisha atachekesha.. Hivyo nitawakumbusha tena Udini nchini Tanzania unatokana na mfumo wa elimu duni uliopo unatuathiri sote wazawa Waislaam kwa wakristu wakati wageni wanachukua nafasi hizi kutawala uchumi wetu..
Well you deceived and blind
Justice will overaul injustice
Wether you love isra HELL or what
Kama hawafanyi justice watapigwa vibaya sana na MUUMBA (and my trust to MUUMBA is beyong reasonable)
I am very sorry for you Topical, because now I come to believe that you are an islam activist against other religions, especially christianity! I'm telling you my dear citizen, Israel will never fail against islamic terrorist and Palestine! It has been written in the Holly Bible and we all see it in reality!
Forget about fighting for your fellow islam rights that will never come true in this world or in the Paradise!
Believe in Jesus you will be Free! Jesus bless you!
You want to take us off topic? Topic ni elimu ya bure kuwa propaganda za Chadema. Stick to it au anzisha topic nyingine kwa nini Nyerere alienda vitani.Really? kwanini alienda vitani?
You want to take us off topic? Topic ni elimu ya bure kuwa propaganda za Chadema. Stick to it au anzisha topic nyingine kwa nini Nyerere alienda vitani.
Mimi nashangaa sana watu wanavyoona CDM jinsi ilivyokuwa waongo wakasahau ahadi za JK zilivyokuwa za uongo na zisizotekelezeka. Mimi naamini kabisa kama JK amekasirika kupita kiasi ukimpa mikanda ya kipindi cha kampeni yake ni LAZIMA atacheka sana na hasira kwisha kabisa kwa jinsi atavyojishangaa ujasiri wa uongo kiasi kile aliukoupatai! Hata leo zikifanyika kampeni natumani hawezi kudanganya kama awamu iliyopita.
Hili linatakiwa wajibu CCM kwa kuwa ndo walitupeleka huko!Really? kwanini alienda vitani?
i knew from the beginning that this topic is religiously motivated even though the perpetrator was trying to use schools in Kilimanjaro and Dar as contents.
nyambaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaf.
Zawadi,
Unapouliza swali ni vizuri uwe na back up ya mfumo unaotawala mpango wa matumizi ya maendeleo nchini. Sasa unapotaka kuona Mkoa wa Kilimanjaro ukiweza kujitosheleza wakati maendeleo ya nchi bado yako centralized kupitia serikali kuu, unajaribu kujenga hoja gani haswa?. Ingekuwa vizuri sana kama ungeuliza swali bila kuwapangia Chadema watosheleze Elimu bure kutokana na kitu unachofikiria wewe. Usitake kulazimisha majibu unayoyategemea wewe..
Hili sii swali bali umejijengea majibu akilini mwako na kuona haiwezekani kwa sababu hujui mikakati ilitowekwa isipokuwa ile unayofikiria wewe...Kwa hiyo badilisha usemi wako, Uliza - Chadema waliahidi Elimu bure kwa wote wangeweza vipi kufanikisha azma hiyo?..Hata mimi ningependa sana kusikia Chadema walitarajia kufanya nini ili kuhakikisha Elimu bure inapatikana.
Halafu Nyerere hakushindwa kutokana na Elimu bure..Labda nikukumbushe tu kwamba Nyerere alitumia kiasi kidogo sana cha bajeti ya serikiali ktk ELIMU ukilinganisha na leo hii, isipokuwa kila fedha yake ilikuwa accounted for wakati leo hii bajeti ya Elimu inatumikia zaidi vikao, misafara na matumizi ya wizara pamoja na kulipa mishahara hewa zaidi kuliko ujenzi wa elimu yenyewe.
Mwalimu NYerere alitoa elimu bure, matokeo yake baada ya miaka 20 nchi ilitembelea magoti. CHADEMA (Mh Slaa) japo ya kujua hilo bado ilisisitiza kutoa Elimu bure kwa watanzania wote ili ishinde uchaguzi 2010, lakini ikaanguka. Hii ni kutokana na ueleo mkubwa wa watanzania na kuelewa kuwa hizo ni PROPAGANDA ZA UONGO.
Wiki iliyopita nilipoandika Thread "CHADEMA NI CHAMA CHA PROPAGANDA" wengi walidai nilete ushahidi au vyanzo vya taarifa hizo. Sikufanya hivyo kwa kuogopa Mod kuifuta habari hiyo. Leo nimeamua kuandika ushahidi wa Propaganda hizo za uongo tukianzia kwenye kipengele cha ELIMU BURE KWA WATANZANIA WOTE.
Ili twende hatua kwa hatua naona vyema tuanzie na mkoa wa Kilimanjaro ambako ndio Ngome ya CHADEMA ilikojikita. Naomba waziri kivuli wa fedha wa CHADEMA aeleze kinaga ubaga ni vipi kwa kutumia kodi ya mkoa wa Kilimanjaro itamudu kutoa elimu bure kwa wananchi wa mkoa huo kabla hatujazungumzia Tanzania nzima.
Mkoa wa Kilimanjaro unaongoza Tanzania nzima kwa kuwa na shule za Sekondari nyingi kuliko mikoa yote ya Tanzania. Una sekondari 288 wakati hata Dar es salaam ina sekondari 252 tu (Chanzo: www.moe.go.tz/NectaResuls). Wakazi wa kilimanjaro ni 1441000 ukilinganisha na Dar es salaam ambao ni takriban 2,809,000 (Chanzo: Tanzania: Regions, Major Cities & Urban Localities - Statistics & Maps on City Population). Pato la kodi la mkoa wa Kilimanjaro (Rombo, Hai, Mwanga, Same, Mosho mjini na Moshi vijijini) ni 14,236.4 Milioni (Tzsh) wakati lile la Dar es salaam ni 441,000.5 Milioni (Tzsh) (Chanzo: Tanzania Revenue Authority - Kigoma).
Kabla sijaandika zaidi naomba huyu waziri kivuli wa fedha wa CHADEMA akisaidiana na wapambe wake hapa JF wanieleze ni vipi watazigawanya hizo 14,236.4 milioni Tzsh katika huduma za matibabu (hospitali, zahanati na elimu ya afya), Polisi, utawala mkoa na wilayani, pembejeo, na Elimu (mishahara ya walimu, ukarabati na stationaries).
Mkishindwa kufanya hivyo maana yake ELIMU BURE KWA WATANZANIA WOTE NI PROPAGANDA YA UONGO. Vinginevyo mlitaka kutumia pesa ya walipa kodi wa mikoa mingine kuendeleza mkoa wenu maana kiuchumi haiwezekani Kilimanjaro yenye wakazi 1441000 iwe na shule kupita Dar es salaam yenye wakazi 2,809,000.
Nasubiri majibu yenu kabla sijaendelea na sekta nyingine.
Bado unajaribu kutumia akili ya Upinzani kuuliza swali. Chadema hata wakikupa maelezo yao maadam wewe unapoingana na sera zao huwezi kuona inawezekana! lazima utaona mapungufu upande wa pili kwa sababu sera zako ni pinzani.
Kwa mfano Chadema wakisema, watapunguza mishahara ya wanasiasa haswa rais, Mawaziri, Wabunge, Kuondoa kabisa manunuzi ya mashangingi na posho za vikao vya bunge, kupunguza gharama za safari na misafara ya rais na mawazirii zisokuwa lazima na kadhalika..Je, utaweza kuelewa na kutoshelezwa?
Hivi vyote, bado hutaelewa kitu kwa sababu huelkewi ni kiasi gani kitakusanywa kutokana na hayo, halafu utaanzisha Ubishi ktk sera ambazo hukubaliani na baadhi ya maamuzi kutokana na mtazamo wako. Halafu, tuacha kuwa wana Chadema au CCM, binafsi naamini kabisa inawezekana kama tukianza na kurekebisha sehemu muhimu za ukusanyaji wa kodi. TRA ifanyiwe marekebisho makubwa sana ktk utendaji kazi wake, iwezeshwe kwa vifaa vya kimataifa. Kila mwananchi awe na TIN namba yake - iwe lazima na ndicho kitambulisho.. Kodi ikishushwa na kuwa asilimia 10 hadi 15. KIla mapato yalipiwe kodi ktk transaction zote zenye kurekodiwa..Nina hakika wananchi na wafanyabiashara wengi watalipa kodi halali kuliko sasa hivi wanapotozwa kodi kubwa sana hivyo hupitia mlango wa nyuma. Kwa kutoza asilimia 10 serikali itaweza kukusanya zaidi pato la taifa kuliko leo hii bila ongezeko la uzalishaji. Licha ya hivyo less than 3 millioni ya wananchi ndio wanalipa kodi hata ukichukua hesabu ya watu wote waliojiandikisha kupiga kura - Hii ni aibu kwa nchi!