Propaganda ya mauaji imefanikiwa... CHADEMA fanyeni hiki!

na huo ndio ukweli ambao cdm mmekua mkiupotosha umma kwa kutumia media, kukashifu kila chombo cha habari chenye mtizamo tofauti nanyi, watanzania ukiacha washabiki wa cdm, ni waelewa and soon mtalitambua hilo.

magamba mnapenda kujifariji, this wind of change is definite! watu hawadanganyiki tena, maana uonevu wa police uko hadi vijijini! Watu wanatishwa wanabambikiziwa kesi hadi vijijini, usifikiri experience ya uonevu wa jeshi la police uko kwa chadema mjini pekee, tena Mwangosi aliuwawa kijijini kabisa! hii topic ya police brutality si ya mjini tu! Watu wanafutatilia mijadala radioni kwenye tv, na magazetini! Vijijini kila familia ina radio, wanasikiliza magezeti kila siku asubuhi! This is ana information age msijidanganye kuwa propaganda zina nafasi tena kwa kizazi hiki!
 
Huyo mwananchi ambaye hajasikia kilichotokea may be atakuwa Mhadzabe ambaye yupo porini ambapo habari ni taabu kuwafikia
 
Kichefuchefu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…